Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,226

Author: jomushi

Kamati ya Wanafunzi Ustawi wa Jamii yazungumza na wanahabari Dodoma

Posted on: July 28, 2011July 28, 2011 - jomushi
Kamati ya Wanafunzi Ustawi wa Jamii yazungumza na wanahabari Dodoma

JULAI 21, 2011, Taasisi ya Ustawi wa Jamii ilifunga masomo (kufunga Chuo) kutokana na mgogoro baina ya Menejimenti na Wahadhiri. Mgogoro huo ambao Kaimu Mkuu…

Continue Reading....

SARA DUMBA ASIFU JUKWAA LA ALIZETI

Posted on: July 28, 2011 - jomushi
SARA DUMBA ASIFU JUKWAA LA ALIZETI

SARA DUMBA Na William Macha-Iringa MKUU wa Wilaya ya Njombe, Sara Dumba amelimwagia sifa Jukwaa la Alizeti lililozinduliwa mkoani Iringa, kupitia mradi wa Muunganisho Ujasiriamali…

Continue Reading....

KIKWETE AAHIDI KUMALIZA KERO YA MAJI NEWALA

Posted on: July 28, 2011 - jomushi
KIKWETE AAHIDI KUMALIZA KERO YA MAJI NEWALA

RAIS Jakaya Kikwete amesema atalisimamia suala la maji koani Mtwara hadi kuhakikisha shida ya maji inakoma mkoani humo. Rais Kikwete amesema hayo wilayani Newala ambapo…

Continue Reading....

SHELISHELI, U23 WAINGIZA MIL 5/-

Posted on: July 28, 2011 - jomushi
SHELISHELI, U23 WAINGIZA MIL 5/-

MECHI ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 na timu ya Taifa ya Shelisheli iliyochezwa…

Continue Reading....

MAJIMAJI YAONDOA PINGAMIZI KWA MWAKINGWE

Posted on: July 28, 2011 - jomushi
MAJIMAJI YAONDOA PINGAMIZI KWA MWAKINGWE

KLABU ya Majimaji ya Songea imeliandikia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ikiondoa pingamizi ililoweka awali dhidi ya mchezaji Ulimboka Mwakingwe ambaye Simba imemuombea…

Continue Reading....

WENJE ATOLEWA KWA NGUVU, MBUNGE CCM ANUSRIKA KUPIGWA

Posted on: July 28, 2011July 28, 2011 - jomushi
WENJE ATOLEWA KWA NGUVU, MBUNGE CCM ANUSRIKA KUPIGWA

Dodoma MBUNGE wa Nyamagana (Chadema), Ezekia Wenje, jana alijikuta akitolewa bungeni na askari (wapambe) wa Bunge waliotii amri ya Mwenyeviti wa Bunge, Sylivester Mabumba, aliyeongoza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari