Na Mwandishi Wetu SHINDANO la kumtafuta malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013” linatarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani,…
Continue Reading....Year: 2013
Afande wa Magereza Anusurika Kipigo Akilawiti
ASKARI magereza mwenye cheo cha Koplo amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kubainika kuwalawiti kwa siku moja vijana wawili wa kiume wenye…
Continue Reading....Watu Wanne Wafa, 13 Wajeruhiwa Katika Msongamano Kanisani, Achebe Kuzikwa
WATU wane wamekufa na 13 kujeruhiwa katika mkanyagano ndani ya Kanisa la Kievangelisti nchini Ghana. Taarifa zinazohusianaafrika magharibiAjali hiyo ilitokea pale waumini walipoania kufikia maji…
Continue Reading....Naomba Ndugu Zangu Wanisaidie kwa Ushauri…!
Hi Admin!, hide my name please, naomba ndugu zangu wanisaidie kwa ushauri, Mimi ni kijana mwenye miaka 27 ambaye naishi Ubungo Kibangu, mwaka huu Januari…
Continue Reading....Gari la Ofisa wa Polisi Arusha Lakamatwa na Magunia 18 ya Bangi
GARI aina ya Toyota Landcruiser linalotumiwa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Arusha, lilikamatwa juzi mjini Moshi likiwa limesheheni magunia 18…
Continue Reading....Vurugu Kubwa Iringa, Mchungaji Msigwa na Wengine 50 Mbaroni
MJI wa Iringa uligeuka kuwa uwanja wa vita kati ya polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na wafanyabiashara jana asubuhi. Watu 50 walikamatwa kutokana…
Continue Reading....