Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013

Year: 2013

IGP Mpya Tanzania Aapishwa na Rais Kikwete

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
IGP Mpya Tanzania Aapishwa na Rais Kikwete

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu  Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya…

Continue Reading....

Kijana Apanda Kwenye Mnara wa Simu Kushinikiza Kuonana na JK

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
Kijana Apanda Kwenye Mnara wa Simu Kushinikiza Kuonana na JK

 Askari wa Kikosi cha Zima moto na Uokoaji Wakiwa wamepanda juu ya Mnara wa Simu Uliopo Ubungo Jijini Dar Es Salaam Muda mfupi uliopita kwaajili…

Continue Reading....

Taarifa Kutoka Mawasiliano Ikulu Tanzania

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
Taarifa Kutoka Mawasiliano Ikulu Tanzania

KWA WAHARIRI WOTE Wakubwa Wahariri Naungana nayi katika kuumaliza vizuri Mwaka 2013. Aidha, nachukua nafasi hii kuwatakia Heri nyingi za Mwaka 2014. Uwe ni mwaka…

Continue Reading....

Samsung Tanzania Yapata Ongezeko la Wateja Kusajili Bidhaa kwa Zaidi ya 30%

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
Samsung Tanzania Yapata Ongezeko la Wateja Kusajili Bidhaa kwa Zaidi ya 30%

KAMPUNI ya Samsung Tanzania imeelezea ongezeko la wateja kujisajili katika mfumo wa dhamana ya ziada kwa zaidi ya asilimia 30 ikiwa ni ongezeko kubwa kwa…

Continue Reading....

TMA Yatoa Tahadhari Mvua za 2014, Yatabiri Kipindupindu Kuibuka…!

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
TMA Yatoa Tahadhari Mvua za 2014, Yatabiri Kipindupindu Kuibuka…!

Na Joachim Mushi MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari kwa Mamlaka za miji Vipindi vya mvua kubwa zitakazonyesha kuanzia mwezi Januari hadi…

Continue Reading....

Abiria wa Dalala Wanusurika ‘Kifo’ Gongo la Mboto

Posted on: December 30, 2013 - jomushi
Abiria wa Dalala Wanusurika ‘Kifo’ Gongo la Mboto

ABIRIA wa daladala moja namba T608 BKP aina ya Toyota Hiace eneo la Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam leo wamenusurika kifo baada ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari