Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 158

Year: 2013

Kamati Kuu CCM Yamtema Shigela wa UVCCM, Mansor Himid…!

Posted on: August 26, 2013August 26, 2013 - jomushi
Kamati Kuu CCM Yamtema Shigela wa UVCCM, Mansor Himid…!

Bashir Nkoromo, Dodoma HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo imemaliza kikao chake cha siku tatu chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete ikiwa…

Continue Reading....

Miss Ilala 2013 Atembelea M/S Tabata Jika, Atoa Msaada wa Vitabu

Posted on: August 26, 2013 - jomushi
Miss Ilala 2013 Atembelea M/S Tabata Jika, Atoa Msaada wa Vitabu

Miss  Ilala 2013 Doris Mollel akitia saini kitabu cha wageni katika shule ya msingi Tabata Jika wakati alipotembelea shuleni hapo na kukabidhi vitabu vya maandalizi…

Continue Reading....

Mwaliko wa Kuhudhuria Tamasha la Jinsia, Maadhimisho ya Miaka 20 ya TGNP

Posted on: August 26, 2013 - jomushi
Mwaliko wa Kuhudhuria Tamasha la Jinsia, Maadhimisho ya Miaka 20 ya TGNP

Ndugu! Yah: MWALIMO WA KUHUDHURIA TAMASHA LA JINSIA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TGNP Salaam kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania! TGNP mtandao ni asasi…

Continue Reading....

Ushauri wa Bure Kwa Msanii Dully Sykes na Watanzania Wenzangu!

Posted on: August 26, 2013September 20, 2013 - Rungwe Jr.
Ushauri wa Bure Kwa Msanii Dully Sykes na Watanzania Wenzangu!

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes Jana nilitembelea mtandao wa Ankal Michuzi (ndio wana Blogu huwa tunatembeleana kubadilishana uzoefu -:))na baada ya kupita hapa…

Continue Reading....

Rais Mugabe Azitishia Marekani, Uingereza

Posted on: August 26, 2013 - jomushi
Rais Mugabe Azitishia Marekani, Uingereza

RAIS Robert Mugabe wa Zimbabwe ameyaonya mataifa ya Marekani na Uingereza na kuzitaka ziondoe vikwazo dhidi ya nchi yake, ama sivyo Zimbabwe italipiza kisasi. Alisema…

Continue Reading....

Tamasha la Serengeti Fiesta Lafana Ndani ya Singida Motel

Posted on: August 26, 2013 - jomushi
Tamasha la Serengeti Fiesta Lafana Ndani ya Singida Motel

Msanii Muigizaji wa filamu na muziki wa bongo fleva, Shilole pichani kushoto akiimba mbele ya maelfu ya wakazi wa Singida waliojitokeza kwa wingi kwenye Tamasha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari