Na Edson Kamukara UJUMBE wangu uko wazi na uanaeleweka kwa kila mtu kwamba naomba kuonana ana kwa ana na Rais wetu Jakaya Kikwete potelea mbali…
Continue Reading....Year: 2013
CCM Yawawashia Moto Kagasheki, Amani
WAKATI Kamati Kuu ya CCM imeamua kuumaliza mgogoro wa madiwani wake wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kwa kutoa onyo kwa viongozi wake, ndani ya…
Continue Reading....Kanisa Lachomwa Moto Dar es Salaam
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kati, Usharika wa Segerea Wilaya ya Ilala, limechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana.…
Continue Reading....TUSONGE Yaendelea Kuinua Wakulima
Na Edwin Moshi, Kilimanjaro IMEELEZWA kuwa kujituma, kufanya kazi kwa bidii na ushirikiano mzuri na viongozi wa serikali kuanzia ngazi ya chini ni moja ya…
Continue Reading....Pambano la Yanga na Ashanti Lavuna Mil. 102/-
MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Ashanti United iliyochezwa jana (Agosti 24 mwaka huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es…
Continue Reading....