Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 157

Year: 2013

Maandalizi Uchaguzi TFF Yapamba Moto, Wawili Wazuiwa Kugombea..!

Posted on: August 27, 2013 - jomushi
Maandalizi Uchaguzi TFF Yapamba Moto, Wawili Wazuiwa Kugombea..!

SEKRETARIETI ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 26 na 27 mwaka huu jijini…

Continue Reading....

Seith Kamuhanda Amfagilia Rais Kikwete Kuteuwa ‘Majembe’

Posted on: August 27, 2013 - jomushi
Seith Kamuhanda Amfagilia Rais Kikwete Kuteuwa ‘Majembe’

Na Magreth Kinabo – MAELEZO ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Seith Kamuhanda  amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuwateua viongozi…

Continue Reading....

Serikali Yapanga Kuchimba Visima 300 Kukabiliana na Uhaba wa Maji

Posted on: August 27, 2013 - jomushi
Serikali Yapanga Kuchimba Visima 300 Kukabiliana na Uhaba wa Maji

Na Eliphace Marwa – MAELEZO SERIKALI kupitia Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) imepanga kuchimba visima virefu 300 vya maji katika mwaka…

Continue Reading....

Kampuni ya Chloride Exide Yakisaidia Kitengo cha Dharura Muhimbili

Posted on: August 27, 2013August 27, 2013 - jomushi
Kampuni ya Chloride Exide Yakisaidia Kitengo cha Dharura Muhimbili

Meneja  wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel  Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza  wakikabidhi…

Continue Reading....

Rais Kikwete Amuapisha Msajili Mpya wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi

Posted on: August 26, 2013August 27, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Amuapisha Msajili Mpya wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya Agosti 26, 2013, amemwapisha Jaji Francis Sales Katabazi Mutungi kuwa Msajili wa Vyama…

Continue Reading....

Membe Awatetea Watanzania Waishio Nje Maoni Katiba Mpya

Posted on: August 26, 2013 - jomushi
Membe Awatetea Watanzania Waishio Nje Maoni Katiba Mpya

Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi, Maelezo Dar es Salaam BARAZA la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa limependekeza kuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari