Tanzania imetangaza kuisaidia Somalia kwa kutoa msaada wa tani 300 za mahindi, ili kuwasaidia kupunguza makali ya ukosefu mkubwa wa chakula unaowakabili kiasi cha wananchi…
Continue Reading....Month: August 2011
Kikwete ampokea Rais wa Somalia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jana, Jumanne, Agosti 9, 2011, amempokea mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Somalia, Mheshimiwa…
Continue Reading....SIDO IRINGA KUTOA MAFUNZO YA USINDIKAJI
Na William Macha, Iringa SHIRIKA la Kuhudumia Viwanda nchini (SIDO) mkoni Iringa linatarajia kutoa mafunzo ya usindikaji bora bidhaa za chakula hivi karibuni. Akizungumza ofisini…
Continue Reading....MUVI yaanza kutoa elimu kwa wakulima Njombe
Na William Macha, Njombe MRADI wa Muunganisho wa Wajasiriamali Vivijini (MUVI) kupitia kitengo chake cha habari umeingia Njombe na kufanikiwa kuzungumza na wajasiriamali wa zao…
Continue Reading....Naibu Waziri awataka maofisa kilimo ‘kuishi’ vijijini
Na Janeth Mushi, Arusha MAOFISA ugani na kilimo nchini wametakiwa kuhama maeneo ya mjini na kwenda vijijini ili kuwasaidia wakulima na wafugaji mbinu anuai za…
Continue Reading....