Month: August 2011
Rais Kikwete, Dk. Bilal wamuaga Jenerali Mayunga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete na Makamu wake Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ulinzi, Hussein Mwinyi, Rais Mstaafu wa…
Continue Reading....Rais Kikwete amuaga Rais wa Somalia
Rais wa Jamhuri ya Somalia, Mheshimiwa Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, ameondoka nchini leo, Jumatano, Agosti 10, 2011 mwishoni mwa ziara yake ya siku mbili ya…
Continue Reading....Jukwaa la FFU lavamiwa na mashabiki!
FRANKFURT, UJERUMANI JUMAMOSI iliyopita mambo yalikuwa ni moto, ‘asiye na mwana abebe jiwe’, katika tamasha la Afro-karibik, Robstock park, Frankfurt, nchini Ujerumani. Pata shika la…
Continue Reading....Wakazi Dar es Salaam waendelea kutaabika na mgogoro wa mafuta, daladala ‘zashindwa’ kufanya kazi
Na Joachim Mushi WAKAZI wa Dar es Salaam jana waliendelea kuumia na mgomo wa wafanyabiashara wa mafuta ya petrol na dizeli, wanaoendesha mgomo kwa siku…
Continue Reading....