Month: August 2011
Wanawake wavutaji sigara hatarini zaidi!
Marekani. UTAFITI uliofanywa hivi karibuni umeonesha kuwa wanawake wanaovuta sigara wapo hatarini kuliko wanaume wavutaji wa ulevi huo. Wanawake wapo hatarini kushambuliwa na maradhi ya…
Continue Reading....Mapenzi ni kuvumiliana!
Naam, Wahenga waliwahi kusema “Mapenzi ni kuvumiliana.” Ni neema iliyoje kufika fainali ukiwa bado umemshika mkono umpendaye kama tuonavyo wazee hao pichani. Picha na mpiga picha maalum…
Continue Reading....Waziri Mkuu Uingereza aitisha Bunge la dharura
BUNGE la Uingereza linatarajiwa kufanya kikao cha dharura baadaye leo kujadili juu ya ghasia ambazo zimeikumba miji kadhaa nchini humo. Taarifa zinaeleza Waziri Mkuu, David…
Continue Reading....Mafuta yatachukua muda kurejea hali yake-Ewura
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Mafuta na Maji (EWURA) imesema hali ya kawaida kwa upatikanaji wa nishati za mafuta hasa dizeli…
Continue Reading....