Rais Magufulia Awagawia Watoto Maziwa Akitembelea Viwanda Tanga

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi alipowasili  kufungua rasmi  kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga  Agosti 6, 2017.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa  kufungua rasmi  kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga  Agosti 6, 2017.  Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Kukua kwa Viwanda Kwahitaji Mabadiliko ya Kisera – ESRF

Mkuu wa utafiti na machapisho ESRF, Profesa Fortunata Makene akifungua warsha. Washiriki wa warsha ya siku moja ya ujasiriamali mdogo na wa kati katika muktadha wa fedha iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF). Na Mwandishi Wetu SERIKALI imetakiwa kufanya mabadiliko makubwa ya kisera kuwezesha kukua kwa viwanda vidogo na vya …

Viwanda Nchini Tanzania Kufanyiwa Sensa, Wadadisi Waandaliwa

Na Veronica Kazimoto, Morogoro WAMILIKI wa viwanda nchini wameagizwa kutoa taarifa sahihi na ushirikiano wa kutosha wakati wadadisi watakapofika katika ofisi zao kuwahoji kwa ajili ya kupata takwimu za viwanda vyao. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wadadisi na wasimamisi wa zoezi la Sensa ya Viwanda iliyofanyika mkoani Mororgoro, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene (Mb) amesema …