Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Ujerumani
  • Page 2

Tag: Ujerumani

Msanii Ebrahim Makunja Ahojiwa na Offener TV

Posted on: October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Msanii, Offener TV, Ujerumani
Msanii Ebrahim Makunja Ahojiwa na Offener TV

MWANAMUZIKI Ebrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja kiongozi mwanzilishi wa bendi maarufu Ngoma Africa almaharufu FFU-Ughaibuni ya Ujerumani, juzi alifanya mahojiano na kituo cha TV…

Continue Reading....

Adolf Hitler na Uchu wa Kuitawala Dunia…!

Posted on: October 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Adolf Hitler, Nazi, Ujerumani
Adolf Hitler na Uchu wa Kuitawala Dunia…!

KIONGOZI wa Chama cha Kisoshalisti kilichojulikana kama “NAZI” Adolf Hitler (1889-1945) alikuwa mmoja kati ya Madikteta dhalimu na mwenye nguvu kuwahi kutokea katika karne ya…

Continue Reading....

Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani Washerehekea Miaka 24

Posted on: October 7, 2014October 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Miaka 24, Muungano, Ujerumani
Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani Washerehekea Miaka 24

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya kusherehekea…

Continue Reading....

Bondia Maarufu wa Kike Kuzichapa Septemba 26 Ujerumani

Posted on: September 6, 2014September 6, 2014 - jomushi
Post Tags: bondia, mwanamke, Ujerumani
Bondia Maarufu wa Kike Kuzichapa Septemba 26 Ujerumani

BONDIA maarufu wa kike Mwafrika barani Ulaya, Bintou Yawa Schmill a.k.a “The Voice” anatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 26, 2014 kupambana na bondia Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/…

Continue Reading....

Ukweli wa Vurugu ‘Show’ ya Diamond Ujerumani…!

Posted on: September 2, 2014September 2, 2014 - jomushi
Post Tags: diamond, Ujerumani, Vurugu
Ukweli wa Vurugu ‘Show’ ya Diamond Ujerumani…!

UKWELI wa show ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuvurugika na msanii huyo kunusurika kula kichapo mjini Stuttgart Ujerumani umewekwa wazi na muandaaji…

Continue Reading....

Ujerumani Kusaidia Silaha Iraq, Marekani Waombwa Silaha

Posted on: September 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Iraq, Marekani, Silaha, Ujerumani
Ujerumani Kusaidia Silaha Iraq, Marekani Waombwa Silaha

UJERUMANI inatarajia kupeleka silaha kwenye Jeshi la Wakurd wa Iraq zikiwemo bunduki na silaha nzito zinazoweza kutumika kushambulia kwenye vita kukabiliana na mashambulizi ya vifaru…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari