Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • nigeria

Tag: nigeria

Wadudu wa Nyanya ‘Watangaza’ Hali ya Hatari Nigeria

Posted on: May 24, 2016 - jomushi
Post Tags: nigeria
Wadudu wa Nyanya ‘Watangaza’ Hali ya Hatari Nigeria

JIMBO moja nchini Nigeria limetangaza hali ya hatari kutokana na uhaba mkubwa wa nyanya. Jimbo hilo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria, limechukua hatua hiyo baada…

Continue Reading....

Boko Haramu Wasababisha Uchaguzi Kuahirishwa

Posted on: February 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Boko Haram, nigeria, Uchaguzi
Boko Haramu Wasababisha Uchaguzi Kuahirishwa

MKUU wa Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria, Attahiru Jega, amesema upigaji kura hauwezi kufanyika nchini humo Jumamosi ijayo kwa sababu wanajeshi wanaotakiwa kulinda vituo vya…

Continue Reading....

Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Bungeni, nigeria, Polisi
Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

POLISI wa Mji Mkuu wa Lagos, nchini Nigeria, wamefyatua gesi ya kutoa machozi ndani ya Jengo la Bunge, na kulazimisha kuahirishwa kwa mjadala muhimu wa…

Continue Reading....

Boko Haram Wateka Vijiji Wauwa, Nigeria Hakuna Ebola…!

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Boko Haram, Ebola, nigeria, Wauwa
Boko Haram Wateka Vijiji Wauwa, Nigeria Hakuna Ebola…!

WATU wanaohisiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wamewapiga risasi na kuwachinja watu katika vijiji vitatu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria licha ya serikali kudai mwishoni mwa…

Continue Reading....

Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118

Posted on: May 20, 2014 - admin
Post Tags: bomu, bomu nigeria, featured, nigeria
Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118

Maafisa nchini Nigeria wamesema kuwa wamepata maiti 118 kufuatia shambulio la bomu katika mji wa Jos. Mabomu mawili yalilipuka mojawepo ikiwa imefichwa ndani ya gari…

Continue Reading....
thehabari