RAIS aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa…
Continue Reading....Tag: featured
Rais Kikwete Awataka Viongozi Tanga Kusimamia Watoto Shule
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewataka viongozi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule, wana kwenda shule bila kukosa hata kama hawana uwezo wa kumudu…
Continue Reading....Maisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga
UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za…
Continue Reading....Hotuba ya Rais Kikwete Yaliweka Bunge la Katiba Njiapanda
KWA neno moja unaweza kusema kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na wananchi kwa ujumla wako “njiapanda”. Hii ni baada ya hotuba ya ufunguzi…
Continue Reading....Mawakala Redio za Jamii Wataja Mafanikio Mradi wa SIDA
Na Mwandishi Wetu, Pangani MAWAKALA wa redio za jamii wanaoshiriki mafunzo mbalimbali yanayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa kushirikiana na Shirika la…
Continue Reading....Wabunge Bunge la Katiba Wasema JK Hajavuruga Mchakato wa Katiba
Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma UMOJA wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba la Tanzania Kwanza umesema kuwa hotuba ya Rais, Jakaya Kikwete aliyoitoa wakati…
Continue Reading....