Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi VIJANA mkoani Lindi wametakiwa kuacha tabia ya kuilalamika Serikali kuwa maisha ni magumu bali watumie fursa zilizopo katika maeneo yao…
Continue Reading....Tag: featured
Sitta Amwita Bungeni Lukuvi, Aeleze Alichokisema Kuwaudhi UKAWA
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amemwita katika bunge hilo Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William…
Continue Reading....You think English is easy?
1) The bandage was wound around the wound. 2) The farm was used to produce produce. 3) The dump was so full that it had…
Continue Reading....Ni Ukosefu wa Adabu Kuwatukana Waasisi wa Tanzania – Rais Kikwete
Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kwa baadhi ya…
Continue Reading....Kutumia Umeme Si Utajiri – Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda- Maelezo, Lindi WAKAZI wa Kata ya Msinjahili wilayani Lindi wametakiwa kutoogopa kuvuta umeme majumbani mwao kwa hofu kuwa wakifanya hivyo wataonekana ni…
Continue Reading....Mvua Kubwa Kunyesha Tena Aprili 17-18
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajia kunyesha tena Aprili 17 na 18 katika Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na…
Continue Reading....