MTU mmoja amejeruhiwa baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Ziwa…
Continue Reading....Tag: featured
Mahabusu Wavua Nguo Mhakamani Kupinga Wenzao Kuachiwa
MAHABUSU wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na…
Continue Reading....JK Aenda Abuja Kwenye Mkutano wa Uchumi
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka leo tarehe 6 Mei, 2014 kuelekea Abuja, Nigeria kuhudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic…
Continue Reading....Serikali Kuja na Mpango wa Kutibu Magonjwa Yasiopewa Kipaumbele
Na Magreth Kinabo – Maelezo SERIKALI inaandaa mpango wa kutoa huduma za magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTD,s) kwa pamoja ili kuweza kufikia watu wengi kwa kupunguza gharama.…
Continue Reading....Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014
Na Mwandishi Wetu Jaji Mstaafu Mark Bomani amesema lengo la mchakato wa Katiba ni kuhakikisha kwamba Tanzania inapata Katiba ambayo ni bora zaidi kuliko zote…
Continue Reading....Mabasi ya Kasi Dar Kuanza Mwishoni mwa 2014
Na Frank Mvungi- Maelezo SERIKALI inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) kutoka Kimara mwisho hadi Kivukoni…
Continue Reading....