WAKATI Serikali ya Tanzania imeanza kuwafikisha mahakamani baadhi ya maafisa wanaotuhumiwa kuhusika na gawio la fedha kutoka akaunti ya Tegeta ESCROW, Chama tawala nchini humo…
Continue Reading....Tag: Escrow
Sakata la Escrow; Rais Kikwete Amfukuza Uwaziri Prof Tibaijuka
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemfukuza kazia Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwa kukiuka sheria ya maadili…
Continue Reading....Bodi ya Shule Iliyopata ‘Mgao wa Escrow’ Yamtetea Prof. Tibaijuka
BODI ya Wadhamini ya Shirika la Barbro Johansson Girls’ Education Trust (JOHA TRUST au BARBRO) wamiliki wa shule za Sekondari Bingwa ya Barbro iliyopo jijini…
Continue Reading....Wanachuo St. Joseph Waenda kwa Pinda Kudai Mgao wa Escrow
BAADHI ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yosef (St. Joseph University In Tanzania-SJUIT, Dar) wameibuka katika maandamano ya kushtukiza na kwenda hadi Ofisi ya…
Continue Reading....Kashfa ya Escrow Yawagawa Wabunge Dodoma…!
TUHUMA za uchotwaji wa fedha kiasi cha bilioni 306 zinazodaiwa kuwa za Serikali katika akaunti ya Tegeta Escrow imewagawa wabunge katika mjadala unaoendelea bungeni wa…
Continue Reading....Serikali Yaanza Kujibu ‘Escrow’ Bungeni, Yadai PAC Imedanganya…!
SERIKALI imeanza kujibu hoja za tuhuma za uwepo wa uchotwaji wa fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow takribani sh. bilioni 306 zinazodaiwa kuchotwa na watu…
Continue Reading....
 
			 
			 
			 
			 
			