Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Dar
  • Page 5

Tag: Dar

JK, Museveni Wakutana Faragha Dar

Posted on: September 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Dar, Rais Kikwete, Yoweri Museveni
JK, Museveni Wakutana Faragha Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 10, 2014, alifanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,…

Continue Reading....

Aliyekuja Dar na Mfuko wa Rambo Aibuka na Milioni 50…!

Posted on: August 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Dar, Milioni 50, Rambo Aibuka
Aliyekuja Dar na Mfuko wa Rambo Aibuka na Milioni 50…!

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa…

Continue Reading....

Ujenzi Mabondeni Waendelea Pamoja na Maafa ya Mvua Zilizopita!

Posted on: May 26, 2014May 26, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, wakazi
Ujenzi Mabondeni Waendelea Pamoja na Maafa ya Mvua Zilizopita!

Pamoja na notisi iliyobandikwa tarehe 13.5.2013, ikiwataka wabomoe majengo hayo. Wakazi hao wamepuuza notisi hiyo, na sasa nyumba hizo zimekamilika na wakazi wameshahamia. Mwandishi alishuhudia…

Continue Reading....

Mlalakuwa Mto Wetu Afya Yetu!

Posted on: May 17, 2014May 17, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, halmashauri, manispaa, wakazi
Mlalakuwa Mto Wetu Afya Yetu!

Bango la kuhamasisha usafi katika Mto wa Mlalakuwa, ambalo lilibeba kauli mbiu isemayo “Mlalakuwa Mto Wetu, Afya Yetu” kama lilivyonaswa na thehabari leo. Mstahiki Meya…

Continue Reading....

Vituko Baabarani!

Posted on: May 12, 2014May 12, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: barabara, barabarani, Dar, madereva
Vituko Baabarani!

Foleni za Dar, zikichochea baadhi ya madereva “kutanua” Barabara ya njia mbili ikilazimishwa kuwa sita! Picha Zote na Mpigapicha Wetu Maalum, Dar

Continue Reading....

Wajumbe Waingia Inchini Kutathmini Athari za Mabadiliko Tabia Nchi!

Posted on: May 12, 2014May 12, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, kinondoni, manispaa, wajumbe
Wajumbe Waingia Inchini Kutathmini Athari za Mabadiliko Tabia Nchi!

” Wajumbe wa Link Cities tokea Durban, South Afrika na Marekani wamefika nchini kwa ajili ya kutathmini athari za mabadiliko tabia nchi (climate change). Watakua…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari