Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akiwa na mkewe Dk. Fatuma akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu, Luhama Chonya ambaye ni bibi mzaa mama, aliyemlea Naibu Spika. Mazishi hayo yalifanyika jana kijijini Ibwaga, wilayani Kongwa, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akitoa heshima za mwisho kwa …
Harusi ni muhimu kwa kila kiumbe!
Maarusi wakijibodoa siku walipofunga pingu………………!
Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 1
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Ndugu Patrick Mongella akiwakaribisha wabunge na wafanyakazi wa Bunge kwenye chakula cha jioni. Ndugu Patrick Mongella (PSPF) na Dyana Chilolo Mbunge wa Viti Maalam Singida wakifungua Mziki katika Sherehe hiyo. Wadau wa PSPF na wale wa Bunge wakiwa wamejichanganya na kulisakata rumba kwa pamoja. Rumba likiwa linaendelea kusakatwa. Mdau akisherehesha
JK: nchi za Africa zinahitaji misaada ya maendeleo
Rais Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni kweli nchi za Afrika bado zinahitaji misaada ya maendeleo lakini wajibu wa kuendeleza nchi hizo unabakia mikononi mwa nchi hizo na siyo kwa mtu mwingine yoyote wakiwamo wafadhili. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa wakati umefika kwa Tanzania na Afrika Kusini kutumia uhusiano wa …
Ngoma Africa band wakishambulia Tübingen Festival
Baadhi ya wasanii wa muziki wa band ya ‘FFU’ ngoma Afrika Bakuli ya “Supu ya Mawe” yawalewesha washabiki! Kile kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU, siku ya Jumamosi ya 16.7.2011 kilijikuta kikiwa na kazi moja tu…ya kuwachanganya akili washabiki katika onyesho kubwa la African Internationals Festivals, lilofanyika mjini Tübingen, Ujerumani. Bendi hiyo maarufu barani ulaya ilijukuta ina kibarua …