Jenerali Davis Mwamunyange. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Brigedia Jenerali Ally Abdallah Sinda kilichotokea ghafla jijini Dar-es-Salaam tarehe 17 Julai, 2011 asubuhi katika Hospitali ya Jeshi, Lugalo (521 KJ). “Tumempoteza mpiganaji hodari katika ulinzi wa nchi yetu na pia katika kupigania afya za Watanzania mbalimbali waliofika katika …
Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes
KOCHA Mkuu wa timu za Taifa za vijana, Kim Poulsen jana alitangaza kikosi cha wachezaji 30 wanaounda timu yenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kwa ajili ya michuano mbalimbali ya kimataifa. Poulsen ambaye kwenye Ngorongoro Heroes anasaidiwa na Adolf Rishard amesema timu hiyo pia itashiriki michuano ya Kombe la Uhai itakayofanyika Novemba mwaka huu. Michuano ya Uhai inashirikisha …
Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 2
Wachezaji wakiwa kwenye utulivu mkubwa Mdau Rahim Hashim akiwa na furaha kubwa ingawa timu yake imeshindwa, bila shaka anatambua kuwa ‘asiyekubali kushindwa si mshindani’. Picha na mdau Rahim Hashim wa Dodoma
Siku timu ya soka ya Bunge ilivyonyakua Kombe!
Mbunge wa Sengerema, Mh. William Ngeleja akiwa anachekelea huku amenyanyua Kombe la ushindi juu, washrika wengine wakiwa wanashangilia. Jezi nambari Tano mgongoni Mh. Ngeleja akiyoyoma na kikombe huku wadau wakimshangilia. Mh. Ngeleja akiondoka na Kikombe huku wadau wakifuata. Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Adam Malima akiungana na Mh. Malima kusheherekea ushindi wao dhidi ya timu …
Hivi ndio mambo yalivyokuwa uwanjani kati ya PSPF na Timu ya Bunge!
Picha ya juu na chini, Timu ya mpira wa Pete ya PSPF wakijiandaa kuanza mchezo wao na timu ya Bunge la Tanzania Picha ya juu na chini, Wachezaji wa akiba wa timu ya mpira wa miguu wa PSPF wakifuatilia kwa makini mpambano kati yao na timu ya Bunge PSPF wakifanya mabadiliko akitoka Hamidu Ngororo na …
Wafahamu baadhi ya wachezaji hatari wa kikosi cha PSPF!
Wachezaji hatari wa timu ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Rahim Hashim na Sudi Hamza wakiwa mazoezini Wachezaji wa mpira wa Pete Safina, Valley, Mariam Lisasi, Mariam Muyovela, Mwajaa, Munisi na Salome Makala. Picha na mdau Rahim Hashim wa Dodoma.