Chaka Khan atembelea Clouds FM Tanzania

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akimkalibisha mgeni wake, Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani, Chaka Khan alipotembelea ofisi hizo Dar es Salaam. Mwanamuziki huyo anatarajia kufanya onesho lake kesho (Julai 23) ndani ya Ukumbi wa Ubungo Plaza, kwa udhamini mkubwa wa Club E.

Mafuru apointed as Director of Marketing SBL

Ephraim Balozi Mafuru Ephraim Mafuru, has been appointed as Director of Marketing at Serengeti Breweries Limited (SBL), reporting to the Managing Director. Ephraim joins SBL from Consultancy firm Hillside Investment Company Limited where he was one of the directors. Mafuru holds an MBA from the University of Dar-Es-Salaam Business School, BCOM in Marketing (UDBS) and a Diploma in Business Administration …

‘FFU’ bendi waja na zawadi ya uhuru wa Tanzania

Kasha la wimbo wa bongo tambarare kama linavyoonekana pichani BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band, aka ‘FFU’ imeanza shamra shamra za kusherehekea miaka 5O ya uhuru wa Tanzania mapema baada ya kutoa kibao chao kipya kinachojulikana kama Bongo Tambarare. Ngoma Africa band wamestua ulimwengu kwa kurusha hewani wimbo huo mpya uliobeba jina la “Bongo Tambarare” …

Dk Slaa: Hatma ya madiwani Arusha leo

Dk. Willibroad Slaa Na Edson Kamukara SIKU moja baada ya madiwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Arusha kugomea maamuzi ya Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, yaliyowataka wajivue nyadhifa za Unaibu Meya na Uenyekiti wa Kamati mbili, Katibu Mkuu, Dk. Slaa ameibuka na kusema leo mchama hatma yao itajulikana. Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es …

Jairo asimamisha kazi rasmi, ni juu ya tuhuma zinazomkabili

David Jairo Dodoma KATIBU Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo amemsimamisha kazi Katibu wa Nishati na Madini, David Jairo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuchangiza zaidi ya sh. bilioni moja kinyemela. Jairo anaanza kutumikia adhabu hiyo leo, huku akimpisha Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi wa fedha zinazodaiwa kuchangishwa na Katibu Mkuu huyo ili kuwashawishi wabunge waipitishe …

Simba yanga kupambana tena Agosti 13

MAHASIMU wa jadi timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga zote za Dar es Salaam, zinatarajia kukutana tena Agosti 13, 2011 mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mchezo huo utakuwa ni wa ufunguzi wa kuzindua msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom, inayotarajia kuanza rasmi Agosti 20, 2011. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa mtandao wa …