Na Mwandishi Wetu Mwanahabari mkongwe nchini, Simon Mkina ambaye amewahi kuwa mhariri wa magazeti mbalimbali ndani na nje ya Tanzania amepata ajali ya gari. Mkina amepata ajali hiyo jana usiku jijini Dar es Salaam akitokea katikati ya mji kuelekea nyumbani kwake Bunju, baada ya gari lake namba T 588 BPN aina ya Daihatsu kugonga nguzo ya umeme alipokuwa akijaribu kukwepa …
Naibu Mhariri New Habari afariki dunia
Danny Mwakiteleko, kulia akiwa mjini Arusha hivi karibuni akihudhuria Mkutano Mkuu wa Wahariri Tanzania, kushoto ni baadhi ya wahariri wenzake kutoka vyombo mbalimbali vya habari. NAIBU Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006), Danny Mwakiteleko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwakiteleko ambaye hivi karibuni alipata ajali mbaya eneo la TIOT, kuelekea Tabata jijini Dar es Salaam, akitokea kazini amefariki baada …
Breaking News; Mhariri Mtendaji wa dev.kisakuzi.com apata ajali
Simon Mkina MHARIRI Mtendaji wa gazeti la mtandao ‘Thehabari.com’, Simon Mkina amepata ajali na kwa sasa amelazwa katika hospitali ya IMTU iliyopo maeneo ya Mbezi Beach. Mkina alipata ajali hiyo usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam, akitokea kazini kuelekea nyumbani kwake maeneo ya Boko nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na …
Guninita ‘amvaa’ Sitta
• Adai ni mzigo, anawadanganya na kuwapotosha wananchi • Asisitiza ni sehemu ya tatizo la mgawo wa umeme • Asema si mgeni serikalini, ni mchochezi, mnafiki na mfitini • Aonya anaigawa, anaitumbukiza CCM kwenye shimo • Asema mambo yakiendelea hicho mwaka 2015 CCM itaambulia patupu MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amemlaumu Waziri …
Mkurugenzi Takukuru amsafisha tena Chenge!
* Ni kuhusu suala la rada, adai wezi ni Waingereza * Asema Chenge anachunguzwa alikopata ‘vijisenti’ Na Mary Mwita, Arusha MKURUGENZI wa Taasisisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hosea amezidi kumsafisha Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge kuhusu tuhuma za rada. Amesema Chenge ambaye ni mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, hausiki na tuhuma hizo ingawa anachunguzwa kuhusu …