SERIKALI imetenga sh. bilioni 31 kwa ajili ya mradi wa Mbwinji wilayani Masasi utakaohudumia pia wilaya ya Nachingwea. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana mjini Masasi katika uwanja wa sabasaba alipokuwa akihutubia wananchi. Mradi huo mkubwa ambao chanzo chake cha maji ni Mto Nanguu unagharamiwa na serikali unatarajiwa kukamilika katikati ya mwaka 2012. Rais yuko mkoani Mtwara kuwashukuru wananchi kwa …
SEMINA, MITIHANI KWA WAAMUZI VYAHAIRISHWA
SEMINA na mitihani ya utimamu wa mwili (Physical Fitness Test) kwa waamuzi wa daraja la II na III iliyopangwa kufanyika Agosti 2 hadi 5 mwaka huu katika vituo vya Dodoma, Mwanza na Ruvuma imeahirishwa. Hivyo waamuzi wote waliotakiwa kushiriki katika semina hiyo ambapo pia watajitegemea kwa usafiri, chakula na malazi wanatakiwa kusubiri hadi hapo itakapotangazwa tarehe nyingine. Semina na mitihani …
UN yapambana na njaa barani Afrika
NDEGE za Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) zimeanza kupeleka chakula nchini Somalia baada ya ndege ya kwanza kutua mjini Mogadishu jana alasiri. Maafisa wa Umoja huo wamearifu kuwa ndege hiyo ilipeleka tani 10 za kwanza za chakula kwa ajili ya watoto waliokumbwa na utapiamlo. Umoja wa Mataifa pia umefahamisha kwamba katika siku zijazo tani nyingine 70 za …
Bush explains slow 9/11 reaction
LOS ANGELES Former President George W. Bush says his apparent lack of reaction to the first news of the September 11 2001 attacks was a conscious decision to project an aura of calm in a crisis. In a rare interview with the National Geographic Channel, Bush reflects on what was going through his mind at the most dramatic moment of …
Wabunge wa Chadema watolewa bungeni
Askari wa Bunge wakiwasindikiza wabunge wa CHADEMA Tundu Lissu (kulia) , Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) na Godbless Lema (wa pili kushoto) kuondoka nje ya viwanja vya Bunge mara baada ya Naibu Spika, Job Ndugai (hayupo pichani) kuwaamuru watoke ndani ya Bunge kwa kile kudai wamevunja kanuni za Bunge. Wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika akiwasindikiza. …