Rais Kikwete awatumia rambirambi wafiwa ajali ya K’njaro

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Meja Jenerali, Saidi Saidi Kalembo kuomboleza vifo vya watu 10 vilivyotokana na ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa tarehe 28 Julai, 2011 katika Barabara ya Moshi – Arusha maeneo ya Kibosho Road mkoani humo. Ajali hiyo ilihusisha magari …

JK: Mtwara iandaliwe kupokea mabadiliko ya uchumi

Jengo la Airp Port Mkoa wa Mbeya. Mtwara, RAIS Jakaya Kikwete ameutaka uongozi wa Mkoa wa Mtwara kuuandaa mkoa huo kupokea uchumi mkubwa wa gesi na mafuta, ambao utakuja na mahitaji makubwa ya shughuli za kijamii. Rais Kikwete ametoa changamoto hiyo leo asubuhi wilayani Masasi katika kikao cha majumuisho mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani mtwara. Rais …

London releases design for heavy 2012 Olympic medals

THE medal design for the 2012 London Olympics was released on Wednesday at a ceremony celebrating one year to go before next summer’s Opening Ceremony. Weighing in at around 14 ounces, the medals are thought to be among the heaviest in Olympic history. British designer David Watkins designed the back of the medal, which incorporated the bulky logo for London …

Tiger Woods returns to action next week at Firestone

FOR up-to-the-minute Tiger Woods and golf news, follow Devil Ball on Twitter, Facebook and now Google+. So it looks like Tiger Woods’ 2011 isn’t over after all. Late Thursday afternoon, Woods made the surprising announcement that he’ll return to tournament action next week at the World Golf Championships-Bridgestone Invitational at Firestone Country Club. This doesn’t exactly jibe with swing coach …

Kesi ya akina Mbowe, Dk Slaa sasa Agosti

Na Janeth Mushi, Arusha KESI inayowakabili baadhi ya viongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk. Wilbroad Slaa inatarajiwa kutajwa Agosti 26 mwaka huu Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha. Aidha kesi hiyo ambayo jana ilitajwa mahakamani hapa, ambapo imekuwa ikikwama kusikilizwa kwa maelezo ya awali …

Dk. Shein aomba ushirikiano kudhibiti magendo ya karafuu

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi kisiwani Pemba kushirikiana na serikali katika jitihada za kupambana na wanaosafirisha karafuu kwa njia ya magendo. Amesema serikali imepanga kutumia sh. bilioni 36 kwa ajili ya kununua karafuu kutoka kwa wakulima wa visiwa vya Unguja na Pemba msimu …