Waziri Mkuu mstaafu John Malecela (kushoto) akimkaribisha Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na mkewe walipomtembelea nyumbani kwake Dodoma. Dk. Bilal (kushoto) akizungumza na Malecela alipomtembelea kumjulia hali mjini Dodoma. Mke wa Malecela, Anne Kilango (Mb) akibadilishana mawazo na mke wa Dk. Bilal, Mama Bilal katika mazungumzo yao. Dk. Bilal, Malecela wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuagana …
Speaker’s Chair too tough on Opposition MPs
THE Speaker’s chair yesterday continued to be tough on opposition MPs this time forcing three legislators outside the Parliament premises. Deputy Speaker, Job Ndugai, seeming prepared to face any challenge, directed Godbless Lema, Tundu Lissu and Peter Msigwa all Chadema MPs outside the Bunge gates accusing them of disrespecting the chair.
Chuo cha Mwalimu Nyerere kufungua tawi Zanzibar
Mkuu wa Chuo hicho, Dk. John Magotti Benjamin Sawe, Maelezo Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinatarajiwa kufungua rasmi tawi lake la Zanzibar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Chuo hicho Dkt.John Magotti katika sherehe ya ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 50. Dkt Magotti alisema tawi hilo la Zanzibar litafunguliwa …
Ajali mbaya Kilimanjaro; 11 wafa, 24 wajeruhiwa, 7 mahututi
Na Joyce Anael, Moshi WATU 11 wamefariki dunia na wengine 24 kujeruhiwa vibaya katika ajali mbaya iliyotokea katika eneo la barabara ya kibosho nje kidogo ya mji wa moshi baada ya gari la mizigo aina ya fuso kugongana uso kwa uso na gari la abiria iliyokuwa imebebeba wafanyakazi wa kampuni ya kahawa ya Kilimanjaro Platation. Ajali hiyo ambayo ilitokea julai …