Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama,akisoma utaratibu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika hivi karibuni Dodoma,(wa pili kulia) Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete, makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Amaan Abeid Karume, Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamatiu Kuu ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, wakisikiliza kwa …
Valencia asaini mkataba mpya Man United
MCHEZAJI wa pembeni wa Manchester United, Antonio Valencia amesaini mkataba mpya wa miaka minne ambao utamuweka Old Trafford hadi msimu wa mwaka 2015. Valencia mwenye umri wa miaka 25 amefunga mabao 10 katika mechi 69 tangu alipojiunga na Manchester United akitokea Wigan Athletic mwaka 2009. Ameeleza katika mtandao wa klabu hiyo: “Ninafuraha sana kubakia Manchester United. Natumai nitaendelea kukuza kipaji …
‘Maiti’ aamka mochwari Afrika Kusini
Afrika Kusini, RAIA mmoja wa Afrika Kusini ameamka na kujikuta yupo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti mwishoni hivi karibuni, na kuanza kupiga kelele akitaka wahudumu wa chumba hicho wamtoe huku wao wakihofu na kudhani ni mzimu. Familia ya mtu huyo iliamua kutoa taarifa mochwari baada ya kudhani amekufa kwa kile kushindwa kumwamsha Jumamosi usiku na hivyo kuwasiliana na ofisi moja …
Lawmakers to vote on last-minute debt deal
WASHINGTON, Congressional leaders rushed to line up Republican and Democratic votes on Monday for a White House-backed deal to raise the U.S. borrowing limit and avert an unprecedented debt default. With scars still fresh from the months-long brawl over increasing the $14.3 trillion debt ceiling, a new fight was shaping over the incendiary topic of taxes. Global markets showed signs …
MicroSoft – DOS yatimiza miaka 30…
The first MS-DOS system was introduced by Microsoft on July 27, 1981, after they purchased the rights to QDOS, which was created by Seattle Computer Products. It brings back so many memories…
Mnyika aelezea ufisadi uliofanyika mradi wa UDA
TAREHE 27 Julai 2011 vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Meya Wa Jiji la Dar es salaam Dk. Didas Masaburi akieleza kilichoitwa maamuzi ya Baraza la Madiwani wa Jiji kuhusu kuvunja uongozi wa Shirika la Usafiri Dar es salaam (UDA) na kuunda kamati ya kuchunguza matatizo katika shirika hilo. Tarehe 28 Julai 2011 vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Meneja wa UDA, …