Kikombe cha Babu chashindwa kutibu Ukimwi!

Na Paul Sarwatt, Arusha Waliokunywa wapimwa baada ya siku 90 Matokeo yaonyesha bado wana virusi Wailaumu Serikali ‘kubariki’ kikombe cha Babu MACHI 20 mwaka huu, Mwenyekiti wa Mtandao wa Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (TANOPHA+), Julius Kaaya alikuwa safarini na wenzake 14 wanaoishi na virusi hivyo kwenda kijiji cha Samunge, wilayani Ngorongoro, kupata tiba ya “kikombe” cha Mchungaji Ambilikile …

Zao la alizeti linaweza kukuza uchumi wa Tanga

Na Ngusekela David, Tanga MKUU wa Wilaya ya Handeni, Seif Mpembenwe amesema wakulima wa alizeti wataweza kuinua kipato chao mara dufu endapo watalima zao hilo la alizeti kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora. Mpembenwa alisema hayo mjini hapa alipokuwa akifungua kikao cha pili cha jukwaa la wadau wa alizeti wilayani Handeni, ambalo limeundwa kwa lengo la kuwaunganisha wadau wa zao …

Maonyesho ya Nane Nane Dodoma!

   Afisa habari na uhusiano wa  Mfuko wa Pensheni (PPF) Edwin Kyungu akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Kidato cha Tatu wa Shule ya Sekondari Wella ya Mjini Dodoma kuhusu huduma mbalimbali za mfuko huo jana mjini Dodoma wakati wa maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayofanyika Kitaifa mkoani Dodoma. Mhadhiri katika Chuo cha Mipango Dodoma Emmanuel Nyankweli akiwaeleza wanafunzi wa Kidato …

RUFANI YA SHINYANGA UNITED YATOLEWA UAMUZI

KAMATI ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mstaafu Alfred Tibagana imekutana leo kusikiliza mashauri mbalimbali yaliyowasilishwa mbele yake. Shinyanga United ilikata rufani kupinga kuenguliwa kwenye fainali hizo, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Mashindano ya TFF baada ya klabu hiyo baada ya kutozingatia maelekezo ya TFF …

Chadema Arusha waitaka Kamati Kuu Taifa kuwatimua madiwani sita Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha IKIWA ni siku chache tangu uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Arusha Mjini mkoani hapa kujiuzulu, uongozi wa chama hicho mkoani hapa umeiomba Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza madiwani wake sita katika Wilaya ya Arusha Mjini. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo mjini hapa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani hapa, Samson Mwigamba amesema …