KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), Kim Poulsen na msaidizi wake Jamhuri Kihwelo wameita wachezaji 37 kwa ajili ya mazoezi kujiandaa kwa michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Michuano hiyo imepengwa kufanyika Nairobi, Kenya mwishoni mwa mwezi huu ingawa bado CECAFA haijatoa …
Taarifa ya utafiti juu ya matatizo yanayowakabili Wanafunzi wenye ulemavu, hasa wasioona katika baadhi ya shule za msingi Mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya ya Lushoto, Tanga
Taarifa ya utafiti juu ya matatizo yanayowakabili Wanafunzi wenye ulemavu, hasa wasioona katika baadhi ya shule za msingi Mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya ya Lushoto, Tanga. Mwandishi: Joachim Mushi, wa gazeti la KULIKONI, Simu namba: 0717 030 066 au 0786 030 066, Barua pepe: jomushi79@yahoo.com Kuanzia Juni 15 hadi Julai 21, 2009. Yaliomo: -Sehemu ya kwanza Hali halisi …
Mgogoro wa ardhi Kiteto waacha makovu kwa watoto
Na Mwandishi Wetu, Kiteto “NAPENDA kusoma, na ninataka niwe mwanasheria ili niwaokoe wengine kutokana na migogoro ya ardhi,” anasema Paschal Michael, mtoto wa miaka 10 anayesoma katika shule ya msingi Boma mjini Kibaya. “Elimu ni muhimu sana kwangu, lakini ni muhimu sana kwa Watanzania wote hasa walio maskini, inaweza kuwainua kiuchumi.” Paschal anakumbuka madhira yaliyompata yeye na familia yake miaka …
Nyota wa soka Japan Naoki afariki dunia
MCHEZAJI Kandanda wa Japan, Naoki Matsuda amefariki dunia siku mbili baada ya kupoteza fahamu uwanjani akiwa mazoezini huku ikiaminika kifo chake kimetokana na maradhi ya moyo. Matsuda (34), aliyeiwakilisha Japan katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2002, alikimbizwa hospitalini siku ya Jumanne baada ya tukio la kuanguka akiwa mazoezini. Alikuwa akifanya mazoezi na klabu yake ya Matsumoto Yamaga, …
Serikali na wauza mafuta wavutana
5th August 2011 WAKATI wafanyabiashara wa mafuta nchini wamesisitiza kwamba wataendelea na mgomo wao hadi bei itakapoongezwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Mafuta na Maji (EWURA) imesema itafuta leseni kwa kampuni zitakazoendelea kugoma. Kwa nyakati tofauti jana, Ewura na wamiliki hao kupitia Chama cha Waagizaji Wakubwa wa Mafuta ya Petroli nchini (TAOMAC), walifanya mikutano na waandishi wa habari Dar es Salaam …