Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dodoma OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa Kitabu cha mapato na matumuzi ya kaya binafisi ili kuhakikisha wananchi wanapanga bajeti zao vizuri kwa ajili kudhibiti matumizi. Ufafanuzi huo umetolewa leo mjini hapa na Ofisa Habari wa NBS, Doreen Makaya alipokuwa akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Fedha, Pereira Silima juu ya umuhimu wa kitabu hicho katika …
Vurugu zazuka London, gari la Polisi lachomwa moto
KUNDI la waandamanaji waliokuwa wakifanya fujo Kaskazini mwa Mji wa London wamechoma moto magari ya polisi na kupora maduka mbalimbali hapo jana, baada ya kuandamana wakipinga kuuawa kwa mtu mmoja aliepigwa risasi na polisi siku ya alhamisi. Zaidi ya watu 200 walikusanyika karibu na kituo cha polisi cha Tottenham kabla ya maandamano hayo kugeuka kuwa vurugu. Taarifa ya Polisi mjini …
RIPOTI YA UCHUNGUZI WA HALI YA ELIMU KIUJUMLA MKOANI LINDI KAZI ILIYOFADHILIWA NA RUZUKU BINAFSI KUTOKA TMF
RIPOTI YA UCHUNGUZI WA HALI YA ELIMU KIUJUMLA MKOANI LINDI KAZI ILIYOFADHILIWA NA RUZUKU BINAFSI KUTOKA TMF Aina ya Ruzuku: RUZUKU YA MKOANI Jina kamili la Mpewa ruzuku: JOACHIM MUSHI Namba ya Mkataba: TMOG4P01 Kipindi cha Mkataba: 21/04/2009 HADI 21/07/2009 Muda uliotumika kwenye Mkataba: 21/04/2009 HADI 26/05/2009 Kiasi cha pesa kilicho idhinishwa: 561,000.00 SEHEMU A: TAARIFA YA KAZI Fomu hii …
APRM kuzindua ripoti mpya ya Hali ya Utawala Bora nchini
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MPANGO wa Bara la Africa Kujithmini Kiutawala Bora (APRM) Agosti 10 mwaka huu unatarajia kuzindua ripoti mpya itakayoonesha Hali ya Utawala Bora nchini kwa mujibu wa maoni ya wananchi na wataalamu mbalimbali. Hayo yamesemwa mjini Dodoma na Afisa Habari na Mawasiliano wa APRM Tanzania, Bw. Hassan Abbas wakati akitoa ufafanuzi kwa wanahabari na wananchi wa aina …
Waziri Membe ainadi wizara yake kwa wananchi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb.) jana mjini hapa (6 Agosti, 2011), ametembelea Maonyesho ya Nanenane. Waziri Membe katika ziara hiyo alipata fursa ya kujibu maswali mbalimbali ya baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na taasisi zake, kikiwemo Kituo cha kimataifa cha Mikutano …
JAN POULSEN AONGEZA WAWILI STARS
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen amewaita kwenye kikosi hicho wachezaji Juma Jabu kutoka Simba na Ramadhan Chombo ‘Redondo’ wa Azam FC kwa ajili ya mechi ya kirafiki inayotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana mjini Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura ni kwamba; wachezaji hao …