CHAMA cha Mpira wa Miguu Sudan (SFA) kimefuta mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars na timu ya Taifa ya nchi hiyo ‘Nile Crododile’ iliyokuwa ichezwe Agosti 10 mwaka huu. Uamuzi huo umetokana na wakala wa mechi hiyo Hadi Sharkawy kushindwa kupata kwa wakati tiketi ya kuisafirsha Taifa Stars kwenda Khartoum. Pia kutokana na mechi hiyo kufutwa, kambi ya Stars …
Dk. Nchimbi atembelea Banda la Hazina Maonesho ya Nane Nane Dodoma
Wizara wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa na Kikundi cha Sanaa za Maonesho Tanzania (KISAMATA) cha jijini Dar es Salaam jana wakati kikundi hicho kikielimisha wananchi wa Dodoma waliotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya wakulima ya nanenane mara baada ya Waziri huyo kutembelea banda la HAZINA mjini Dodoma. (Picha na HAZINA na …
Dk. Kawambwa awaonya wamiliki vyuo vya uwalimu
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dodoma WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Jumanne Kawambwa amewaonya wamiliki wa vyuo vya ualimu binafsi kuacha kuwadanganya vijana waliomaliza kidato cha nne kuwa wanaweza kujiunga na masomo ya Stastahada (Diploma) kwa sifa za kidato cha nne kwa kuwa na pasi tano. Dk. Kawambwa alitoa kauli hiyo jana mjini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa …
Mama Pinda awataka wanawake kuwaombea viongozi Tanzania
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wa Tanzania bila kujali itikadi, rangi wala dini zao, hawana budi kuungana na kuwaombea viongozi wote ili wawe na ujasiri wa kutetea maslahi ya Watanzania. “Tunapaswa tuwaombee viongozi wetu wa ngazi mbalimbali ili wapate maono na ujasiri. Tuwaombee ili watambue kwamba uongozi walionao ni dhamana waliyopewa na Mungu na kwamba wanapaswa …
Dk. Kawambwa: Idadi ya wasomi imeongezeka
Na Tiganya Vincent, MAELEZ0-Dodoma WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Jumanne Kawambwa amesema katika kipindhi cha miaka mitano ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne umeongeza idadi ya wanafunzi wanaosoma ngazi mbalimbali kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Dk. Kawamba amesema hayo leo Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Banda la …
Tall building a threat to Ikulu
By Bernard James The Citizen Reporter Dar es Salaam.The construction of a controversial 19-storey building overlooking State House has prompted security concerns, and the government has demanded to know who authorised the project in the area.The Citizen on Sunday has reliably learnt that State House has come down hard on authorities responsible for urban planning and issuance of building permits, …