Kambi ya mateso yagunduliwa Zimbabwe

IDHAA ya Habari ya BBC (Panorama) imegundua kambi ya mateso inayosimamiwa na Majeshi ya Usalama nchini Zimbabwe, iliyopo katika eneo lenye utajiri wa madini ya almasi, mjini Marange. BBC ilifanikiwa kuzungumza na walioathirika siku za karibuni ambao walielezea walivyopigwa sana na kudhalilishwa kijinsia. Madai hayo yanatolewa huku Umoja wa Ulaya EU ukishinikiza kuruhusu baadhi ya almasi zilizopigwa marufuku kutoka nchi …

Mwanaume aishi na simba wiki 5 banda moja, akisaka ‘noti’

Na Mwandishi Wetu MMILIKI wa banda moja la maonesho ya wanyama wakali akiwemo Simba, Aleksandr Pylyshenko ameamua kujifungia banda moja na Simba kaadhaa anaowamiliki ili kuvutia wateja (watalii) wa wanyama hao kwenye biashara yake. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki mjini Vasilyevka Kusini Mashariki mwa nchi ya Ukraine, ambapo mmiliki huyo wa mbuga za wanyama hao wakali aliamua kuingia kwenye …

Mgomo wa wauza petroli, dizeli waendelea Dar es Salaam

Na Joachim Mushi MGOMO wa kinyemela kwa wauzaji wa mafuta ya petroli na dizeli umeendelea jana mjini Dar es Salaam, ambapo umezua kero kubwa kwa wamiliki wa vyombo vya moto na wafanyabiashara wa usafirishaji abiria jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Mtandao wa dev.kisakuzi.com vituo vingi vya kuuzia mafuta vilikuwa havitoi huduma yoyote kwa visingizio kwamba …

DR. MIGIRO KUZINDUA RIPOTI YA UTAWALA BORA YA APRM

Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Agosti 10, 2011 anatarajia kuzindua ripoti mpya ya Mpango wa Bara la Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Katibu Mtendaji wa APRM Tanzania, Rehema Twalib, ripoti hiyo itakayoonesha Hali ya Utawala Bora nchini kwa mujibu wa …

TFF yatupilia mbali pingamizi la Yanga dhidi ya Simba

KAMATI haikusikiliza pingamizi la Yanga dhidi ya Simba kuhusu wachezaji iliyotoa kwa mkopo baada ya kubaini kuwa wachezaji ambao Simba imewatoa kwa mkopo ni wane tu; Haruna Shamte (Villa Squad), Aziz Gilla (Coastal Union), Ahmed Shiboli (Kagera Sugar) na Mohamed Kijuso (Villa Squad). Wachezaji wengine waliotajwa na Simba kupelekwa kwa mkopo katika klabu mbalimbali ilibainika kuwa ni wa kikosi cha …