Taariza zilizotufikia hapa dev.kisakuzi.com ni kwamba chuo cha Sheffield kinazo Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga na Chuo hicho Septemba, 2011. Kwa maelezo zaidi, fika ofisi za wawakilishi wa Chuo waliopo Tanzania kwa anuani ifuatayo: Wawakilishi Tanzania Wawakilishi maalum wa Chuo cha Sheffield Tanzania ni: Uniserv Tanzania Haidery Plaza, 1st Floor A. …
Omo Tribes From The Valley
Photographer Marcos Lira visited the remote tribes of the Omo Valley, Ethiopia, in 2010. Their remoteness and inaccessibility has enabled the tribes to resist outside influence. Ethiopia is building a series of hydroelectric dams along the river Omo to develop the country. People in the capital, Addis Ababa, say that the people of the Omo Valley are “uncivilized” and their …
‘FFU’ Ngoma Africa Band kutingisha Jukwaa la Afrika Festival, Ujerumani Agosti 20
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, wanatalajia kutumbuiza katika onesho lingine kubwa la wazi mjini Aschweiler, nchini Ujerumani. Onesho hilo la aina yake litafanyika Jumamosi ya Agosti 20, 2011 majira ya saa 12.00 jioni. Mapromota wa muziki huko ughaibuni wameamua kufanya kweli na bendi hiyo maarufu kwa kuipangia ratiba ya maonesho bila kupumua! …
Nyota wa mpira wa kikapu Marekani kuja Tanzania
Taarifa kwa wadau na wapenzi wa mpira wa kikapu Tanzania. SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania pamoja na ndugu zetu wa Ubalozi wa Marekani nchini tuna furaha kubwa leo kwa mara nyingine tena kufanikisha ziara ya kimichezo ya mafunzo ya wachezaji wa zamani wa ligi kubwa ya mpira wa kikapu duniani ya NBA na WNBA. Miongoni mwa wachezaji wanaokuja katika …
Mikoa 11 kushiriki sensa ya majaribio Tanzania
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Morogoro JUMLA ya mikoa 11 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kushirikia katika sensa ya majaribio ya watu na Makazi itakayoanza Septemba 4 mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk. Albina Chuwa alipokuwa akitoa maelezo mafupi kabla ya kufunguliwa kwa mafunzo ya wiki moja ya …
Timu ya Kamanda Kova yaingia Daraja la Kwanza
Na Mwandishi wetu’ LIGI ya Taifa ngazi ya Fainali imemalizika jana kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga, huku ikizipa nafasi ya kupanda daraja la kwanza timu za Polisi Central ya Dar es Salaam, Mlale JKT ya Ruvuma na Mgambo Shooting ya Tanga. Timu zingine zilizofanikiwa kupanda daraja kama washindwa bora ni Samaria ya Singida na Small Kids ya Rukwa. Taarifa …