Simba imeingia mkataba na mchezaji Gervais Anold Kago kutoka klabu ya Olympic Real de Bangui ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kwa ajili ya kuichezea timu hiyo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom na michuano ya kimataifa. Akiyasema hayo Alex Mgongolwa ambaye ni Mwenyekiti Kamati ya Sheria , Maadili na Hadhi za wachezaji amesema “Wakati Kago akiwa bado hajapata Hati …
Waasi 26 wa Libya wauawa
Jumla ya wapiganaji 26 wa waasi nchini Libya wameuawa katika mapambano na vikosi vitiifu kwa Kanali Muhammar Gaddafi yaliyotokea mashariki mwa mji wa Brega. Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la Quryna linalotolewa kwenye mji wa Benghazi, wengi wa wapiganaji hao wa waasi waliuawa na wadunguaji.Zaidi wa wapiganaji 40 walijeruhiwa. Waasi hao wamekuwa wakijaribu kudhibiti baadhi ya miji muhimu …
Wapalestine watoroka mizinga ya Syria
Umoja wa mataifa unasema kuwa maelfu ya Wapalestina wanakimbia kutoka kwenye kambi moja ya wakimbizi iliyo karibu na mji wa bandari wa Latakia nchini Syria ambapo Jeshi limekuwa likiwashambulia raia wanaompinga Rais Asaad. Kambi hiyo imekuwa ikishambuliwa kwa makombora na jeshi la Syria kwa siku ya tatu mfululizo. Watu wasiopungua thelathini wameripotiwa kuuwawa tangu jumamosi ambapo vikosi vya serikali vilianza …
Ligi kuu ya England Sergio Aguero aanza vyema.
Meneja wa Manchester City Roberto Mancini, amemfananisha Sergio Aguero sawa na mshambuliji wa zamani wa Brazil Romario, baada ya Muargentina huyo kuanza vyema katika mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea. Aguero aliyenunuliwa kwa kitita cha paundi milioni 38 alifunga mabao mawili na kusaidia kupatikana kwa jingine, wakati Manchester City ilipoibuka kwa ushindi wa mabao …
Hatimaye Febregas atua Barcelona
Cesc Fabregas tayari ni mchezaji rasmi wa Barcelona baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ulaya. Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal amefuzu uchunguzi wa afya yake aliofanyiwa mara mbili siku ya Jumatatu katika hospitali iitwayo Hospital de Barcelona, na atatambulishwa na klabu hiyo wakati wowote. Arsenal itapokea kitita cha paundi milioni 30 na paundi milioni …
Obama bus catches buzz on the Web
Pull over, Sarah Palin: President Obama’s bus is about to run yours off the road THE $1.1 million (yep, you read that right) Obamamobile is, according to the Associated Press, “an impenetrable-looking conveyance the size of a cross-country Greyhound, painted all in black, with dark tinted windows and flashing red and blue lights.” The rubber is hitting the road for …