MKUU wa zamani wa Jeshi la Zimbabwe amefariki dunia akiwa ndani ya shamba lake, hii ni kwa mujibu wa taarifa rasmi ilizozipata BBC. Taarifa zaidi zinasema Mujuru (62) aliyekuwa mwanasiasa mwandamizi na mume wa Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Bi. Joice Mujuru, inaelezwa kuwa amekufa baada ya kuungua kwa moto uliozuka katika shamba lake lililopo eneo la Beatrice. Ofisa mmoja …
Mkuu wa zamani Jeshi la Zimbabwe afariki dunia
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Zimbabwe Solomon Mujuru amefariki dunia kwa moto katika shamba lake, taarifa rasmi zimeifikia BBC. Bw Mujuru mwenye umri wa miaka 62, alikuwa mwanasiasa mwandamizi na mume wa Makamu wa Rais wa Zimbabwe Joice Mujuru. Wachambuzi wanasema kifo chake huenda kitazidisha mkanganyiko kwenye chama cha Rais Mugabe kuhusu nani atakayemrithi kiongozi huyo mwenye umri wa …
Tanzania kutumia mil 400 katika sensa ya majaribio
Na Tiganya Vicent, MAELEZO JUMLA ya sh. milioni 400 zinatarajiwa kutumika kugharamia shughuli za uendeshaji wa sensa ya majaribio itakayofanyika Septemba 4 hadi 11 mwaka huu katika mikoa 11 ya Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Morogoro na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk. Albina Chuwa, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mafunzo ya wiki moja …
Wanajeshi wadaiwa kuvamia kijiji Dar
TAARIFA zilizotufikia jana majira ya saa nne asubuhi kutoka nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ni kwamba; watu wanaodaiwa kuwa ni Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi nchini (JWTZ) wamevamia Kijiji cha Kimbiji. Taarifa zinasema wanajeshi hao walivamia na kuvunjiwa makazi yao pamoja na kuharibiwa mazao. Chanzo cha habari cha mtandao huu kilisema, malori manne yaliyojaa wanajeshi yalikivamia Kijiji …
Madereva ‘bodaboda’ wateketeza Prado kwa moto Arusha
Na Janeth Mushi, Arusha JOPO la waendesha pikipiki maarufu kama “bodaboda” mkoani hapa wameteketeza gari kwa moto baada ya gari hilo kumsababishia kifo dereva mwenzao baada ya kugongwa na kufariki papo hapo. Tukio hilo limetokea mjini hapa Agosti 13 mwaka huu majira ya saa 1:30 jioni katika eneo la Sakina mkoani Arusha. Tukio hilo lililihusisha gari namba T 123 AAW …
Dk Bilal azindua rasmi maghorofa ya Polisi Kilwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi yaliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha (kulia) ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Inspekta Jenerali wa Polisi, Said …