WAYNE Rooney amepachika mabao matatu peke yake wakati Manchester United ikiinyuka Arsenal kwa mabao 8-2. Danny Welbeck ndiye alifungua karamu ya magoli baada ya kuunganisha pasi ya Anderson. David De Gea aliokoa penati iliyopigwa na Robin Van Persi, na baadaye kidogo Ashely Young kufunga bao la pili. Rooney aliandika bao la tatu na la nne kwa mikwaju miwili ya adhabu, …
‘Bongo Starz’ Katika Mazoezi!
(Picha zote na Abdul Majid)
“Jairo”, ufisadi wa kitaasisi na ombwe Ikulu
Na John Mnyika TOKA mjadala almaarufu kama wa “Jairo” uanze nimekuwa kimya bila kutoa maoni yoyote hadharani. Nilikuwa kimya kwa sababu kubwa mbili; mosi, kwa kuwa Mkutano wa Bunge ulikuwa ukiendelea kama mbunge na waziri kivuli niliona nitumie fursa ya uwakilishi bungeni kuishauri na kuisimamia serikali katika suala hili na mengine. Pili, nilikuwa mmoja wa watu ambao walihojiwa na ofisi …
Akina dada kuweni makini….
Kijana akamatwa akichukua video kisirisiri……….
‘Bongo Starz’ Itafanikiwa kuwabwaga Ghana na Ivory Cost?
Na Muandishi wetu, Los Angeles Timu ya Soka ya Watanzania waishio Los Angeles, “Bongo Starz” walikutana kwa mara nyingine tena jana siku ya Jumamosi kwa mazoezi ya nguvu kabla ya mpambano wa timu za Afrika kufanyika Septemba 3. Timu ya Tanzania (Bongo Starz) ipo ndani ya kundi C, ambalo linajumuisha timu za Ivory Coast na Ghana. Timu ya Tanzania ni ngeni …
Waasi Libya wakataa mazungumzo
WAPIGANAJI wa Libya wanasema hawataki kufanya majadiliano na Kanali Gaddafi, baada ya pendekezo hilo kutolewa na msemaji wa kanali. Na wapiganaji wa Libya piya wamesema wana wasiwasi juu ya usalama wa watu kama elfu 50, waliokamatwa na jeshi la Kanali Gaddafi katika miezi ya karibuni. Wanafikiri watu hao wamezuwiliwa kwenye mahandaki mjini Tripoli, na wamewaomba watu wanaojua mahandaki hayo yaliko, …