KOCHA wa Timu za Vijana, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 30 wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kwa ajili ya mazoezi mwezi ujao. Wachezaji walioitwa ni Saleh Ally (TSA), Jackson Wandwi (Azam), Hassan Kessy (Mtibwa Sugar), Khamis Mroki (Mtibwa Sugar), Yassin Mustapha (Polisi Dodoma), Andrew Kasembe (Moro United), Issa Rashid (Mtibwa …
Kuziona Star na Algeria kiingilio 3,000/-
VIINGILIO kwa ajili ya mechi ya mchujo kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Equatorial Guinea na Gabon kati ya Taifa Stars na Algeria vitakuwa kama ifuatavyo; Viti vya kijani ni sh. 3,000, viti vya bluu sh. 5,000, viti vya rangi ya chungwa sh. 7,000, VIP C sh.10,000, VIP B sh. 20,000 na …
Speech on 17th Aviation and Allied Business Leadership Conference
STATEMENT BY HIS EXCELLENCY DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF OPENING THE 17TH AVIATION AND ALLIED BUSINESS LEADERSHIP CONFERENCE, KILIMANJARO HYATT REGENCY HOTEL, 29 AUGUST 2011 Hon. Mr Omari Nundu, Minister of Transport of the United Republic of Tanzania; Honorable Ministers present here; Ms. Susan Kurland, Assistant Secretary for Aviation …
Wakali wa taarab watimkia kundi jipya la ‘T’ Moto ‘Real Madrid’
*Mtoto wa Salmini afanya kufuru, abomoa makundi ya jahazi na five star *Asema kundi hilo ni kama ‘Real Madrid’ *Kutambulishwa na Aliyeniumba Hajanikosea MTOTO wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amin Salmin ‘Mourinho’, amenzisha kundi jipya la muziki wa Taarab linalojulikana kwa jina la T Moto Morden Taarab ‘Real Madrid’ linaloundwa na wasanii mahiri waliopata kutamba katika makundi ya Jahazi Morden …
Ewura yashusha tena bei ya mafuta
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha bei ya mafuta kuanzia leo.Kwa hatua hiyo, bei ya ukomo ya petroli kwa Mkoa wa Dar es Salaam sasa itakuwa Sh2,070, huku dizeli ikiwa Sh1,999 na mafuta ya taa Sh1,980. Bei ya ukomo wa bidhaa hiyo itatofautiana kulingana na umbali wa maeneo. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi …
Biashara ya nyanya Ilula
Wafanyabiashara wa zao la nyanya Ilula Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wakinadi bidhaa zao kwa mmoja wa wateja hivi karibuni eneo hilo. (Picha na mpiga picha wetu)