Tevez asema ataheshimu mkataba Man City

CARLOS Tevez amekiri itakuwa “vigumu” kuondoka Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili msimu huu. Tevez alikuwa na matumaini angeondoka katika klabu hiyo ili aweze kuwa karibu na mabinti wake nchini Argentina. Lakini taarifa za karibu na mchezaji huyo zimeiambia BBC: “Itakuwa haiwezekani kwa Carlos kuondoka na hilo analifahamu.” Ameongeza kusema klabu ya Inter Milan imemtaka mshambuliaji huyo, …

Makamu wa Rais mgeni rasmi Swala ya Eid el Fitr Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salum na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba (kushoto), wakiwa katika swala ya Eid El-Fitr, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar …

Uadilifu unajenga imani za Wananchi-Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu-Zanzibar UADILIFU unasaidia kujenga imani za wananchi kwa viongozi wao na watumishi wa umma na kuwafanya wananchi wawe tayari kutoa ushirikiano wao wa dhati katika masuala mbali mbali ya maendeleo. Hayo yameelezwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein katika hotuba yake aliyoitoa katika Baraza la Idd El …

Swala ya Idd jijini Dar es Salaam leo

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakiswali swala ya Idd. Waislamu wote leo wameungana na Waislamu ulimwenguni kote kusherehekea Siku Kuu ya Idd baada ya kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. (Picha kwa hisani ya FullShangwe Blog).

Wanawake wenye nguvu kuliko wote duniani

Women are dominating all parts of life and there are sitting on the top seats all over the world. Politics and business are those top fields which empower the women and in this list of top ten powerful women most of the women belongs to politics and business. German Chancellor Angela Merkel is on number one in the list of …