KIKAO maalumu kuhusu Libya, ambacho mwenyeji wake ni Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy na Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron, kimefanika mjini Paris. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton atahudhuria huku China na Urusi, wakilitambua Baraza la Mpito la Libya (NTC) kama serikali halali ya Libya. Baraza hilo la NTC litaomba msaada wa ulinzi, kuijenga upya Libya …
JK: Kanisa halina mkono Mahakama ya Kadhi
Thursday, 01 September 2011 Rais Jakaya Kikwete amewatetea wakristo nchini kwamba hawahusuiki na kuchelewa kwa mchakato wa kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi, huku akionya kuwa fikra za aina hiyo si za kweli kwani zinaweza kuchochea mgawanyiko kwa misingi ya dini, hivyo kuhatarisha amani nchini. Badala yake Rais Kikwete amesema mchakato wa kuanzishwa kwa mahakama hiyo umecheleweshwa na taratibu ndani ya …
‘PPP necessary for successful HIV prevention’- Call
PRIVATE sector come amid media sad stories that in some part of Tanzania condoms were been used and washed ready for second and third use. In some part of Tanzania there have been media reports suggesting that because of condoms shortages, people used smooth plastic bags as substitute during sexual intercourse. The workshop was told that the private sector’s contribution …
Twanga Pepeta yakonga mashabiki Mango Garden
BENDI maarufu ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta jana iliwaburudisha wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo katika onesho lililofanyika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Ikiongozwa na waimbaji wake nyota na maarufu kama Chaz Baba, Sarehe Kupaza, Dogo Rama, pamoja na Muumini Mwinjuma aliyejiunga na bendi hiyo hivi karibuni-walikuwa ni kivutio kikubwa katika onesho hilo la …
Shibuda ajichimbia kaburi lake
Na Sophia Yamola GAZETI la Chama Cha Mapinduzi (CCM) lilipoandika wiki iliyopita kwamba Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda “amejilipua” lilijua linachokifanya. Ilikuwa baada ya mbunge huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwashutumu viongozi wake kwa mafumbo, na hata kuwafananisha na Nduli Idi Amin wa Uganda.