Vodacom Tanzania yapata Bosi Mkuu Mpya

Na Mwandishin Wetu KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom jana imemtangaza, Rene Meza kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo hapa nchini. Rene ambae kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bharti Airtel Kenya ana uzoefu mkubwa wa kimataifa katika sekta ya mawasiliano ya simu kwa zaidi ya miaka 12 akiwa ameshafanya kazi Afrika, Asia na Larin-Amerika. Akizungumzia …

Bongo Starz yaichapa Ivory Coast bao 4 kwa 1!

Na Mwandishi Wetu, Los Angeles, CA ILE siku ya Septemba 3, ambayo ilikuwa ikisubiriwa na wa-Afrika wengi hapa jijini Los Angeles iliwadia. Timu 24 za mataifa ya Kiafrika zilikutana kwa ajili ya kuchuana kwenye mpira wa miguu, ambao mshindi alijinyakulia donge nono la Dola 3000! Timu ya Watanzania ‘Bongo Starz’ ya jijini Los Angeles iliweza kuichapa Ivory Coast bao 4 kwa 1 bila …

Mbunge Lema afikishwa mahakamani Arusha

MBUNGE wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema leo amefikishwa mahakamani na wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Mkanga, Agnes Mollel na Happy Kivuyo wakipinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika jimbo hilo yaliomuweka madarakani mbunge Lema. Lema aliwasili mahakamani leo akiwa na mke wake …

Kliniki ya mafunzo mchezo wa kikapu kuanza Sept 6

Balozi wa Marekani nchini Tanzania kuifungua Na Moshi Stewart, MAELEZO-Dar es Salaam SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini na wadau wengine kama Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite na Family Healthy International (FHI), wameandaa ziara ya kimichezo ya mafunzo ya ‘Basketball’ yatakayotolewa na wachezaji wa zamani wa ligi kubwa ya mpira wa kikapu …