Ngoma Africa band yafunika Steinhude meer, Hannover!

WAKALI wa muziki wa dansi barani Ulaya ‘Ngoma Africa Band aka FFU wamevunja rekodi kwa kulitingisha onesho lingine kubwa la Afrika Markt fest, lililofanyika Jumamosi ya Septemba 3, 2011 mjini Steinhude am meer, jirani na Hannover city, Ujerumani. Ngoma Africa Band na muziki wao wa dansi wamekuwa na tabia za kuwadatisha akili washabiki katika maonesho mengi barani Ulaya, Bendi hiyo …

Pambano la Stars na Algeria laingiza mil 148

PAMBANO la mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Equatorial Guinea na Gabon kati ya timu ya Tanzania (Taifa Stars) na Algeria (Desert Warriors) limeingiza sh.148,220,000. Mechi hiyo ilichezwa Septemba 3 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mashabiki waliokata tiketi kushuhudia pambano hilo ni 29,892. Viti vya kijani ambavyo kiingilio …

Wasomali 750,000 hatarini kufa njaa

Somalia WATU zaidi ya 750,000 huenda wakafa njaa kutokana na makali ya ukame katika miezi ijayo, hii ni onyo iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ikitangaza njaa katika eneo jingine jipya. Umoja wa Mataifa unasema maelfu ya watu wamekufa baada ya kile kinachotajwa kuwa ukame mbaya zaidi kuikumba Afrika Mashariki katika kipindi cha miaka 60. Eneo la Bay limetajwa kama eneo …

Guinness yapata wakali wa soka watakaokwenda Afrika Kusini

MASHINDANO ya vipaji vya mpira ya ‘Guinness Football Challenge’ yamemalizika jana katika viwanja vya Leaders na kupatikana timu nane za watu wawili wawili kila timu ambao wanatarajia kupelekwa nchini Afrika Kusini kujiunga katika shule maalumu ya vipaji vya mpira wa miguu. Mashindano hayo ambayo yamezaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) chini ya kinywaji chao cha Guinness yalifanyika jana …

Pinda akemea viongozi wasiojali shida za Watanzania

*Askofu Mtemelelwa atema cheche WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amekemea viongozi wasiojali na kushughulikia kero za watu na umaskini unaowazunguka watu wanaowaongoza na akawataka viongozi wa madhehebu ya dini waisaidie Serikali katika kupambana na hali hiyo. Ametoa kauli hiyo jana Septemba 4, 2011 akitoa salamu za Serikali kwenye ibada ya kumuweka wakfu Askofu Mteule, Maimbo Mndolwa wa Kanisa la Anglikana Tanzania …