TFF yafanya mabadiliko ya Ligi Kuu ya Vodacom
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya mabadiliko madogo ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Kaluta Amri Abeid ulioko mkoani Arusha kuwa na shughuli nyingine za kijamii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo mjini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na Ofisa Habari wa TFF, Boniface …
Kliniki ya mpira wa kikapu yaanza Don Bosco leo
KLINIKI ya mafunzo ya mpira wa kikapu nchini kwa vijana kutoka mikoa 16 ya Tanzania imeanza leo ndani ya viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatolewa na nyota watatu wa mpira wa kikapu kutoka ligi ya nchini Marekani. Wachezaji ambao wanaendesha Kliniki hiyo ni Tamika Raymond (WNBA), Becky Bonner (WNBA) na Dee Brown (NBA) aliyechezea …
Twiga Stars yalabwa 2-1
TIMU ya wanawake ya Taifa ya Tanzania (Twiga Stars) imepoteza mechi yake ya kwanza ya michezo ya All Africa Games (AAG) baada ya leo kufungwa mabao 2-1 na Ghana katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Machava, jijini Maputo. Kwa mujibu wa Meneja wa Twiga Stars, Furaha Francis hadi mapumziko timu hiyo ilikuwa nyuma kwa bao 1-0. Mwanahamisi Shuruwa aliisawazishia Twiga Stars …