Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, jana, Septemba 5, 2011, usiku amekutana na kufanya mazungumzo na Masheikh wa Dini ya Kiislam kuhusu mchakato wa kuundwa kwa Mahakama ya Kadhi nchini. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari, imesema katika mkutano huo, pande …
Nizar Khalfan aishukuru Serikali ya Rais Kikwete
Na Mwandishi Wetu MCHEZAJI maarufu wa soka wa kimataifa wa Tanzania, Nizar khalfan, ameishukuru Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa misaada mingi ambayo Serikali imekuwa inatoa kwa wanamichezo, wakiwemo wanasoka na hatua nyingine za Serikali kuunga mkono jitihada za wanamichezo wa Tanzania. Aidha, Nizar Khalfan amemshukuru Rais Kikwete kwa jitihada binafsi ambazo hatimaye zimechangia katika mafanikio ya Nizar Khalfan katika …
Katibu Mtendaji wa Bodi ya ACBF azungumzia Mkutano wa 20 wa Bodi hiyo
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF) Dk. Frannie Leautier (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha kuhusu kuanza kwa Mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF) unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Septemba 8, 2011. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (ACBF), Audrey Mpunzwana na kushoto ni Mtaalamu kutoka …
‘Majeshi’ ya Gaddafi yakimbilia Niger
MSAFARA wa magari wenye ulinzi na silaha kutoka Libya umevuka mpaka kuingia nchini Niger, ripoti zinasema. Msafara huo unaaminika ni wa wapiganaji wa Tuareg waliopewa mafunzo na Kanali Muammar Gaddafi aliyekimbia nchi kupigania utawala wake ukielekea katika Mji wa Agadez. Haijafahamika wazi iwapo kuna mwanafamilia yeyote wa Kanali Gaddafi katika msafara huo. Msemaji wake alisema Gaddafi mwenyewe bado yuko Libya. …
Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA; BOFYA HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU 2011-2012 media
Mgombea Ubunge CCM Igunga arejesha fomu
NA Bashir Nkoromo, Igunga MGOMBEA wa Ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Peter Kafumu amerejesha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi na kusema anao uhakika wa kutapata ushindi usio na shaka. Akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya kurejesha fomu hizo ili kuteuliwa rasmi kuwa mgombea, Dk. Kafumu pia ametaja mikakati yake kuwa ni pamoja na …