Pinda awataka waajiri wasiwabane wafanyakazi kujiendeleza

Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka waajiri mbalimbali nchini kutoa ruhusa kwa watumishi waliowaajiri ili waweze kujiendeleza kielimu kwa kutumia njia ya elimu masafa. Pinda ametoa kauli hiyo leo mchana Septemba 9, 2011 wakati akizindua kituo cha Mkoa wa Rukwa cha Chuo Kikuu Huria eneo la Eden mjini Sumbawanga. Amesema kuna baadhi ya waajiri wanawanyima ruhusa ya kusoma …

Mama Kikwete awataka vijana kuchapa kazi

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka vijana nchini Tanzania kufanya kazi kwa bidii kwani wao ni chachu ya maendeleo na kuepukana na dhana kuwa ukikaa bila ya kufanya kazi utapata mafanikio katika maisha. Mama Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiongea na Ushirika wa Vijana wa Kikristo wa Uzalishaji Tanzania (UVIKIUTA) mara baada ya kumaliza …

CHADEMA wafunika Igunga, Dk. Slaa ‘amnanga’ Mkapa

Na Mwandishi Wetu, Igunga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilifunga mitaa kadhaa kwa kuwa na umati wa wanachama, wapenzi na wafuasi wa chama hicho mjini hapa wakati wa maandamano kuzindua kampeni zake za kuwania ubunge Jimbo la Igunga. Waandamanaji hao wakiongozwa na viongozi wa kuu wa Chama hicho, Freeman Mbowe, Dk. Wilbroad Slaa na viongozi wengine pamoja na …