AIDS WEEK IN REVIEW

AIDS WEEK IN REVIEW; For more information click HIRE AIDS WEEK IN REVIEW–SEPT.9

Breaking News; Ajali juu ya ajali Zanzibar, hadi sasa 250 waokolewa kwenye ajali ya Meli ya Spice

TAARIFA ambazo zimetumwa na mmoja wa mashuda, kutokea Zanzibar, anasema ajali nyingine ya gari imetokea na watu watatu wamekufa papo hapo kati ya wananchi ambao wanaelekea eneo la Nungwi kuangalia ndugu zao waliopata ajali kwenye Meli ya Spice Islanders. Na taarifa za sasa zinaeleza, watu 250 wameokolewa wakiwa hai katika meli iliyozama ya Mv Spice Islanders iliyokuwa ikitokea Bandari ya …

Meli yazama na abiria na mizigo Pemba

TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba, idadi kubwa ya abiria wanahisiwa kupoteza maisha baada ya Meli ya LCT Spice Islanders kuzama katika Bahari ya Hindi, Pwani ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja ikielekea Pemba. Akizungumzia ajali hiyo, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu, Issa Haji Ussi amesema tukio hilo limetokea saa 8:30 za usiku ambapo meli hiyo ilikuwa imebeba …

Kampeni Igunga: Rostam amtumia Mkapa

    Mwandishi wetu – Adaiwa kumwangukia ashirikishwe KAMPENI za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga zinazinduliwa mwishoni mwa wiki huku kukiwa na taarifa kwamba kuna mgawanyiko ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya ushiriki wa mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Rostam Aziz, Raia Mwema limearifiwa. Taarifa za ndani ya CCM zimethibitisha kwamba chama hicho kilimwomba rais mstaafu Benjamin …

Pingamizi kesi ya madiwani Chadema zasikilizwa

Na Janeth Mushi, Arusha HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Hawa Mguruta amekubali kusikiliza pingamizi la wadaiwa ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe katika kesi iliyofunguliwa na madiwani watano kupinga kufukuzwa uanachama. Aidha pingamizi hizo zilizotolewa kwa njia ya maandishi na wakili upande wa wadaiwa, Method Kimomogolo zinaeleza kuwa Mbowe hawezi kushtakiwa binafsi, CHADEMA haiwezi kushtakiwa …

Kampeni za Chadema Igunga katika picha

KAMPENI za kugombea ubunge Jimbo la Igunga zinaendelea huku vyama vyenye upinzani mkali katika jimbo hilo vya CHADEMA, CCM na CUF vikiendelea kunadi wagombea wao kwa mbwembwe. Jimbo hilo limeachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa CCM Jimbo la Igunga, Rostam aziz baada ya kujiuzulu kwa shinikizo kutoka ndani ya CCM. Zifuatazo ni picha mbalimbali zikionesha mikutano ya CHADEMA.