TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam imeendelea kuchechemea katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya mdudu wa sare kumng’ang’ania tena na timu ya Ruvu Shooting. Jana katika mchezo wake na timu hiyo Yanga imelazimisha sare ya bao 1-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambao Yanga ilijinasibu kuwa itashinda baada ya kuanza kutumia uwanja huo. Kwa …
TANGAZO; TOYOTA- DCM INAUZWA
GARI AINA YA TOYOTA-DCM LINAUZWA JIJINI DAR ES SALAAM, LIPO KATIKA HALI NZURI NA LINATEMBEA. KWA SASA LINAFANYA SAFARI ZA MBAGALA -UBUNGO. BEI YAKE NI NZURI, KAMA WAHITAJI TAFADHALI PIGA SIMU NAMBA 0784670259 AU O7860330066
Officials: No sign of U.S. entry for terror plot
WASHINGTON (AP) U.S. intelligence agencies have found no evidence that al-Qaida has sneaked any terrorists into the country for a strike coinciding with the 10th anniversary of the Sept. 11 attacks, senior officials said Saturday. But authorities kept a high alert as investigators looked for proof of a plot possibly timed to disrupt events planned Sunday in Washington or New …
Kufuatia msiba Zanzibar, Kikwete atangaza maombolezo siku 3, akatiza ziara ya Canada na kutembelea majeruhi, aagiza uchunguzi ufanywe
Na Mwandishi Maalumu KUFUATIA msiba mkubwa uliotokana na ajali ya kuzama kwa meli ya Spice Islander katika bahari ya Hindi usiku wa kuamkia leo, Jumamosi, Septemba 10, 2011, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ameamuru maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku tatu kuanzia kesho tarehe 11 Septemba, 2011 ambapo bendera nchini zitapepea nusu mlingoti. …