Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa uwekezaji katika wilaya ya Mpanda na Mkoa mzima wa Rukwa ni wa lazima na hauwezi kuepukika kama kweli wakazi wake wanataka kuondokana na umaskini. Ametoa kauli hiyo leo mchana Septemba 10, 2011 wakati akizungumza na wakazi wa Wilaya ya Mpanda kwenye uzinduzi wa tawi la Benki ya CRDB, mjini Mpanda, mkoani …
JK atoa milioni 300 ajali ya Meli Zanzibar
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kiasi cha sh. milioni 300 zitakazotumika katika shughuli zima ya uokoaji pamoja na kusaidia kusafirisha na kuzika miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya Mv. Spice Islander iliyotokea juzi usiku Zanzibar. Kwa upande wake Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa sh milioni 100 kwa shughuli …
Salamu za rambirambi toka kwa wasomaji wa mtandao wa dev.kisakuzi.com kuhusiana na ajali ya Meli Zanzibar
Zifuatazo ni salamu mbalimbali za rambirambi na maoni kwa Serikali, ndugu, jamaa na marafiki kutoka kwa wasomaji wa dev.kisakuzi.com na wadau anuai kuhusiana na ajali ya Meli ya Mv. Spice Islander, Zanzibar. ………………………………………….. *ZUBEIR A. ZUBEIR Anasema; “Nawapa pole sana wazanziber,msiba ni wetu wote. Allah awafanyie wepesi waliotangulia mbele ya haki,” …………………………………………… *Edson Elias Anasema; “Inasikitisha sana kwa tukio lililotokea, …
TFF yafanya marekebisho tena mechi za Taifa
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzabia (TFF), ilimefanya marekebisho kwa mechi za Uwanja wa Taifa ili kutekeleza maagizo ya Serikali kucheza mechi mbili tu za Ligi Kuu ya Vodacom, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. TFF imefanya marekebisho hayo kwa baadhi ya mechi zilizokuwa zichezwe kwenye uwanja huo. Katika taarifa yake iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo, na kusainiwa …
Kopeni fedha benki mjenge hoteli- Waziri Mkuu Pinda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewahimiza wakazi wa Wilaya ya Mpanda ambayo inatarajiwa kuwa Makao Makuu ya Mkoa mpya wa Katavi wachukue mikopo benki na kuwekeza kwenye majengo kukidhi mahitaji ya wilaya mpya. Ametoa kauli hiyo Jumamosi, Septemba 10, 2011 akiwahutubia wakazi wa Mji wa Mpanda kwenye Uwanja wa Michezo wa Kashaulili, wilayani Mpanda, mkoani Rukwa. Amesema kuundwa kwa mkoa mpya …
SALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA dev.kisakuzi.com
Uongozi na wadau wote wa ‘gazeti’ mtandao la dev.kisakuzi.com unaungana na Watanzania wote katika maombolezo ya ajali na msiba mkubwa uliotokea Zanzibar, baada ya kuzama kwa Meli ya Mv. Spice Islander juzi usiku. Thehabari imepokea kwa masikitiko makubwa na inawaombea majeruhi wote wa ajali hiyo wapone haraka ili warudi kuendelea na shughuli mbambali za ujenzi wa taifa. Kwa wafiwa tunawaombea …