Na Mwandishi Wetu SALAMU za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kufuatia ajali ya kuzama kwa meli ya Spice Islanders na kuua watu 202 zimezidi kumiminika nchini kutoka Jumuia ya Kimataifa. Salamu hizo za rambirambi pia zimetumwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein. Hadi leo, Septemba …
Zitto aeleza kwanini Tanzania hainufaiki kwa madini, Prof Shivji ahoji kauli za kukua kwa uchuni!
Na Joachim Mushi NAIBU Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Kabwe Zitto amesema ni vigumu Tanzania kuanza kunufaika na sekta ya madini kama itashindwa kushinikiza kuanza kutumika kwa sheria mpya ya uchimbaji madini nchini. Amesema kutoanza kutumika kwa sekta hiyo kumeigharimu nchi kiasi kikubwa, kutokana na mapato mengi ikiwemo malipo ya mrahaba katika kampuni anuai za madini. Zitto ambaye …
Picha za Matukio anuai ndani ya Tamasha la TGNP
Zifuatazo ni picha mbalimbali zinazoonesha matukio ndani ya Tamasha la Jinsia Kumi la Jinsia linaloendelea ndani ya Viwanja vya TGNP jijini Dar es Salaam;- (Picha zote na Joachim Mushi)