Mapacha 3 wapagaisha Mashabiki Sin Cirro
KUNDI machachari la Bendi ya Mapacha Watatu linaloundwa na wanamuziki wanaovuma na nyota, yaani Halid Chokoraa, Kalala Junior pamoja na Jese Mara, jana waliwapagawisha mashabiki wao ndani ya Ukumbi wa Sun Cirro walipokuwa wakifanya unesho lao. Kwa mujibu wea mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo ameuambia mtandao huu kuwa kwa sasa wataendelea kutumbuiza ndani ya ‘Night Club’ hiyo ya kisasa …
Serikali yasitisha kazi ya kutafuta maiti majini
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa tamko la kusitishwa rasmi shughuli ya utafutaji wa miili ya watu walionasa kwenye meli ya Mv. Spice Islanders iliyozama eneo la Nungwi Kaskazini mwa Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kutokana na ugumu wa utekelezaji wa kazi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ofisa Habari wa Jeshi la Polisi Zanzibar, …
Vodacom yadhamini mafunzo ya waandishi wa michezo
MAFUNZO kwa ajili ya waandishi wa habari za michezo yatafanyika mkoani Morogoro Oktoba 1 na 2 mwaka huu chini ya udhamini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania. Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Amir Mhando, amesema leo wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuwa maandalizi ya mafunzo hayo …
Gari la mbunge Mng’ong’o lageuzwa Ambulence baada ya ajali
MAJERUHI wa ajali ya basi la Grazia lenye namba za usajali T 591 ADK linalofanya safari zake kati ya Njombe na Dar es Salaam wamenusurika kufa mbele ya spika wa bunge la jumhuri ya muungano wa Tanzania na baadhi ya viongozi wa CCM na wakuu wa wilaya wakati akisubiri bila mafanikio gari ya wagonjwa kutoka Hospitali ya mkoa wa Iringa …