Wabunge wa Chadema wafikishwa mahakamani

Tabora na Igunga WABUNGE wawili wa Chadema na kiongozi mmoja wa chama hicho wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora kujibu mashtaka matatu kwa pamoja likiwamo la kumshambulia Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario. Mbali na mashtaka hayo kuwakabili watuhumiwa wote, watatu ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga, Sylvester Mhoja Kasulumbayi (Maswa Mashariki ) na Anwar Kashaga, …

Happy Birthday Kamanda yetu Ras Makunja wa ‘FFU’!

LEO Septemba 19, 2011 ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki, Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja, mtunzi, mwimbaji na kiongozi wa bendi maarufu “Ngoma Africa band” aka FFU, yenye makao yake nchini Ujerumani. Kamanda Ras Makunja ambaye ni msanii nguli alizaliwa Katikati ya Jiji la Dar es Salaama Septemba 19. Ni mtoto wa kiume wa Jumanne Saleh Makunja (RIP) na Bi. …

Dk. Shein aendelea na ziara ya kuwafariji wafiwa Pemba

Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameendelea kuwafariji wafiwa kisiwani Pemba kufuatia ajali ya kuzama kwa Meli ya Mv. Spice Islander na kueleza kuwa serikali itayafanyia kazi mapendekezo yatakayotolewa na Tume hiyo juu ya ajali iliyotokea. Dk. Shein, alieleza hayo kwa nyakati tofauti wakati alipokuwa akiwafariji wafiwa huko katika …

Hatma ya madiwani waliotimuliwa Chadema kesho!

Na Janeth Mushi, Arusha HATMA ya madiwani watano wa Chama cha Damokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaopinga kufukuzwa uanachama inatarajia kujulikana kesho wakati Mahakama itakapotoa uamuzi wa ama kuifuta kesi hiyo au kuendelea kuisikiliza. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Arusha, Hawa Mguruta anatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi nne zilizotolewa na mawakili wa utetezi, Method Kimomogolo na Albert Msando waliotaka …