Tanzania Country Self Assessment Report

African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania Country Self Assessment Report (Final Revised Edition) September 2011 Table of Contents No Item Page No Table of Contents…………………………………………………… i List of Tables and Figures and Case Studies……………………….. iv Acronyms and abbreviations………………………………………. ix Acknowledgements…………………………………………………. xviii Political Map of Tanzania…………………………………………… xx Country Fact Sheet…………………………………………………… xxi Executive Summary………………………………………………….. xxvi CHAPTER ONE: Background and Introduction 1 1. …

Mahakama Arusha yawabwaga madiwani waliotimuliwa Chadema, kibao chaigeukia Serikali kuwalipa

  Na Janeth Mushi, Arusha MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoani Arusha jana imetupilia mbali kesi ya madai namba 17/2011 iliyofunguliwa Agosti 10 mwaka huu na madiwani watano waliopinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hakimu wa Mkazi wa Mahakama hiyo, Hawa Mguruta akitupilia mbali kesi hiyo mahakamani alisema Mahakama haiwezi kuingilia uamuzi ya Kamati Kuu ya (CHADEMA) …

Taarifa na ufafanuzi masuala anuai kutoka TFF

Kupotea tiketi mechi ya Yanga, Azam Mmoja wa wauzaji tiketi kwenye mechi ya Azam na Yanga iliyochezwa Septemba 18 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Seleman Masoud aliripoti kupotelewa kitabu kimoja cha tiketi mara baada ya ugawaji wa vitabu hivyo kwa wauzaji kufanyika asubuhi ya siku ya mchezo kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). …

Wanawake wanaweza kuongeza uzalishaji

WANAWAKE wanaweza kuongeza kiwango cha uzalishaji na kukuza kilimo katika nchi zinazoendelea iwapo watapewa uwezo wa kumiliki ardhi na kupata mikopo nafuu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini New York jana (19 Septemba, 2011) wakati wa mjadala juu ya Wanawake na Kilimo, kuzungumzia jinsi ya kuongeza hali ya Usalama wa Chakula Duniani, mjadala uliongozwa na Waziri wa Mambo ya …