Utiaji saini miradi ya Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Chuma Liganga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Sichuan Hngda Corporation Ltd, Liu Canglong, baada ya kuhudhulia zoezi la utiaji saini mkataba wa miradi ya Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Chuma cha Liganga, uliofanyika Septemba 21 kwenye Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, …

Idadi ya vifo vya mama na mtoto yapungua

IDADI ya vifo vya Mama na Mtoto barani Afrika imeanza kupungua kutokana na nchi nyingi kufanikiwa katika kupunguza ugonjwa wa malaria ambao nao umekuwa unachangia sana katika vifo vya mama na watoto wachanga barani Afrika. Rais Jakaya Kikwete amesema hayo Septemba 20, 2011 katika mkutano wa viongozi na wadau mbalimbali unaotambuliwa kwa kauli mbiu yake ya “Kila Mwanamke, Kila Mtoto” …

‘Mjue Sensei Rumadha Fundi’

WAKATI tunaelekea katika shangwe za miaka 50 ya Uhuru, tunawaletea makala maalumu ya matunda ya vijana walizozaliwa ndani ya miaka 50 ya uhuru, Tanzania pamoja na kuwa na watalaamu wa fani na taaluma mbalimbali lakini tunao wataalammabingwa wachache sana katika nyanza au fani ambazo ni adimu sana, watalaamu hao mojawapo ni mkufunzi bingwa wa michezo ya KARATE NA YOGA, Mtanzania …

Wabunge Ujerumani wamgomea Pope Benedict XVI! Watoka bungeni

Heti siasa na dini ni sawa kuchanganya maji na mafuta katika chupa? Wengine wanadai kisa kupingwa kwa kondomu! Kweli Nabii hana utukufu nyumbani kwao !? KIONGOZI wa kidini wa kanisa la Kikatoliki duniani Mtakatifu Pope Benedict xvi (Joseph Ratzinger), amejikuta yupo katika mvutano mkubwa na wanasiasa nchini ujerumani, baadhi wabunge wapatao 100 wametoka nje ya bunge la ujerumani wakati Pope …

“Wanamichezo Maarufu Waliowai Kufilisika!

  For a while, no boxer on earth was as feared as “Iron Mike” Tyson. The powerful puncher won his first 19 professional fights by knockout, some of which took place during the first round. He quickly became the heavyweight champion of the world, but in 1992 he was convicted of sexual assault and served three years in prison. When …

Idadi Ya Vifo Vya Mama na Mtoto Barani Afrika Imeanza Kupungua

  Idadi ya vifo vya Mama na Mtoto barani Afrika imeanza kupungua kutokana na nchi nyingi kufanikiwa katika kupunguza ugonjwa wa malaria ambao nao umekuwa unachangia sana katika vifo vya mama na watoto wachanga barani Afrika. Rais Jakaya Mrisio Kikwete amesema hayo jana (20 Septemba, 2011) katika mkutano wa viongozi na wadau mbalimbali unaotambuliwa kwa kauli mbiu yake ya “Kila …